GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nipo natoka safari kutoka dom kwenda dar nimekutana na mjumbe kutoka kigoma,anasema Baba levo kwa kura alizopata baba levo tofauti ya 80+ alimwaga pesa sio chini ya bilioni moja point mbili.

Nimekubaliana na mjumbe maana kwa zile kula ukizngatia ni mgeni CCM kweli alipambana kwa kuhonga hizo pesa wajumbe maana sio kwa utata ule kwenye matokeo Ndio maana na ujenzi wa mjengo wake alisimamisha

Napata picha hata washindi waliowapiga chini watetea nafasi kama yule wa iringa na wa makambako bwana chongolo pesa zimewatoka sana.

Jamani watoto wa masikin ubunge mtausikiq kwenye redio tu,ujipange haswaa.

Makadilio ya Kugombea na Kushinda

Rate ya kutoa kwa Wajumbe wa kawaida ni kuanzia 30,000 to 50,000(Wajumbe 3,000*40,000=120,000,000)

Rate ya Viongozi wa Chama Ngazi ya kata(Vijana, Wanawake, n.k , Viongozi 10* kata 20* 500,000=100,000,000)

Rate ya Viongozi wa Chama Ngazi ya Wilaya(Vijana, Wanawake n.k viongozi 20*1,000,0000=20,000,000)

Pesa ya Wapambe na gharama nyingine n.k 20,000,000

Jumla ya Makadilio ya Chini =260,000,000
 
Hivi takukuru mko wapi mpaka haya maswala yanafanyika, hongo kipindi cha uchaguzi kinawanyima haki wananchi kuchagua viongozi sahihi wa kuleta maendeleo kwenye majimbo
 
Makadilio ya Kugombea na Kushinda

Rate ya kutoa kwa Wajumbe wa kawaida ni kuanzia 30,000 to 50,000(Wajumbe 3,000*40,000=120,000,000)

Rate ya Viongozi wa Chama Ngazi ya kata(Vijana, Wanawake, n.k , Viongozi 10* kata 20* 500,000=100,000,000)

Rate ya Viongozi wa Chama Ngazi ya Wilaya(Vijana, Wanawake n.k viongozi 20*1,000,0000=20,000,000)

Pesa ya Wapambe na gharama nyingine n.k 20,000,000

Jumla ya Makadilio ya Chini =260,000,000
Milioni 200 labda chama cha upinzani ila kwa ccm watu wamefilisika hasa kuna mtia nina kamaliza zaidi ya ml 400 na wajumbe wamemla kichwa miaka hii siasa imekuwa ngumu haswa maana wafanyabiasha wakubwa wanakimbilia huko kwaajili ya kujilinda na madili yao hivyo wanamwaga pesa balaa
 
Una maana hiyo billion + faida ingerudi kupitia kodi zetu kama angeenda bungeni kwa kipindi cha miaka 5 tu?

Kama hivyo ni kweli bungeni wanaenda wabunge wangapi? Wote wakipata hiyo pesa tunaendelea lini?

Siamini. Ila kama ni kweli taifa linahitaji tafakuri jadidi.
Yani unaamini kwa miaka mitano mbunge hapati bilioni!!
 
Bilioni ni hela ya kawaida sana zama hizi mkuu watu ambao huwadhani yani watu wa kawaida sana wanazo hizo kwa wingi tu
Baba levo kutumia bilioni inawezekana kabisa na sababu zipo wazi
We unayo hiyo bilioni hapo
 
Kwa nyakati hizi ili upate ubunge basi usicheze chini ya mil 30 walau. Ukiwa na zaidi ya hiyo fedha ubunge unaku rahisi kuup+q+ata zq8aidi
Milioni 30 ni ndogo sana, hela ya bia hiyo watu kibao wanayo.

Imagine Kinondoni wanajitokeza watu saba, tisa, kum challenge Ponjolo Tarimba. Richest district in the country.

Hivi Kinondoni au Ilala, Kariakoo kwa Zungu pale, nani hana milioni 30 ya kuchezea, ukiondoa mimi na wewe ?

Nimeuliza wilaya za Dar, jamani hamna watu wenye kisu cha kupambana na Tarimba, Zungu, Chaurembo, Kairuki, mtubadilishie hizi sura chechefu for heavens sake, wakasema watu tupo ila hatutaki ku gamble hela kwa saab kuna kukatana majina hata ukishinda, na hawajulikani CCM.

Kwa hiyo zinahitajika nyingi mpaka matajiri wanaogopa ku bet. Kata moja tu ya Mbweni Beach watu wenye mil 30 ya kuchoma kwa demu mmoja wapo watu kama mia tano! Lakini wanabonyea wakati wa ubunge!

Inahitajika zaidi ya milioni 30 kutafuta ubunge. In my humble analysis.
 
Milioni 30 hata udiwani unaweza usipate katika baadhi ya Mikoa kama DAR, ARUSHA ,Mwanza n.k
Kama unatafuta Ubunge seriously lazima una kuanzia 300milioni.

Kuna Mbunge mmoja aliyemaliza muda wake kagawa Pikipiki zaidi ya 100 na bado kapigwa chini.

Baba Levo kutumia milioni 200 Hadi 300 mimi sishangai maana yuko na Mondi Platnumz na hiyo pesa iko within their reach.

Wabunge waliomaliza muda wao wamepewa about 400 milioni kila mmoja kama kiinua mgongo na Wajumbe wanajua hilo LAZIMA WAZITAFUNE NDO UPATE KURA!!!

Ukweli ni kwamba ukitaka UBUNGE tafuta PESA! Elimu na sifa zingine ni za ziada , PESA ndo sifa kuu , acha kudanganywa na yeyote!

Hata Rais Samia kesha tanguliza Pikipiki na Baiskeli Nchi nzima na hakuna wa kushindana naye!

Polepole na wenzake wanapoteza muda wao bure tu!!
Weee mjinganila mwisho àu jiooooooni huuu ndio ukweli pesaaaaaa chapati sasampa mapene ndululu shillingi ndio khabari yanmjini elimu ije baadae
 
Milioni 30 ni ndogo sana, hela ya bia hiyo watu kibao wanayo.

Imagine Kinondoni wanajitokeza watu saba, tisa, kum challenge Ponjolo Tarimba. Richest district in the country.

Hivi Kinondoni au Ilala, Kariakoo kwa Zungu pale, nani hana milioni 30 ya kuchezea, ukiondoa mimi na wewe ?

Nimeuliza wilaya za Dar, jamani hamna watu wenye kisu cha kupambana na Tarimba, Zungu, Chaurembo, Kairuki, mtubadilishie hizi sura chechefu for heavens sake, wakasema watu tupo ila hatutaki ku gamble hela kwa saab kuna kukatana majina hata ukishinda, na hawajulikani CCM.

Kwa hiyo zinahitajika nyingi mpaka matajiri wanaogopa ku bet. Kata moja tu ya Mbweni Beach watu wenye mil 30 ya kuchoma kwa demu mmoja wapo watu kama mia tano! Lakini wanabonyea wakati wa ubunge!

Inahitajika zaidi ya milioni 30 kutafuta ubunge. In my humble analysis.
Duh sure bro
 
Milioni 200 labda chama cha upinzani ila kwa ccm watu wamefilisika hasa kuna mtia nina kamaliza zaidi ya ml 400 na wajumbe wamemla kichwa miaka hii siasa imekuwa ngumu haswa maana wafanyabiasha wakubwa wanakimbilia huko kwaajili ya kujilinda na madili yao hivyo wanamwaga pesa balaa
Watu hawajui tuu
 
Back
Top Bottom