GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kumbe mna bahati mbaya hamjawai Kuwa Katika team ya kampeni..ubunge sio poa andaa million 200 kwa mtu ambaye ana focus ya kumtoa waziri jimboni

NB:sio wote wengine mazali yanawabeba
Aisee! Hatari tupu
 
Jitahidi uongeze elimu labda inaweza kukupa hekima, utu na busara
Yani utu ni kwa mipalestina tu? Ndugu zako wawili Clemente Mtenga Na Joshua Mollel walivyouwawa kikatili na hao mipalestina ulikuwa ukishangilia humu jamvini kwa kukata mauno.

Kobaz bana!
 
Wajinga sana Wanamchukulia bilioni kama shilingi mia baba Levo angekua na hiyo pesa Unafikiri angeenda kigoma kugombea
Wengine wanasema eti ana back up ya Mondi na Casino hua anashinda hadi Milioni 200 🤣🤣🤣 uchawa ukizidi na akili zinahama walai
 
Back
Top Bottom