Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Mleta Uzi atakuwa na ugonjwa wa akiliBilioni moja unadhani ni makalio kila mtu anayo eeh
Mleta Uzi atakuwa na ugonjwa wa akiliBilioni moja unadhani ni makalio kila mtu anayo eeh
Tukujibu sisi!!?? Muulize mwenyewe au mkewe, na ukijua shughuli zake itakusaidia nini!!!??? Zingatia maisha yako mjini kuna mengi.Anafanya shughuli ganj za kumuingizia pesa?
Chini ya million 300 hutoboi ndani ya CCM, chukua hiyo kutoka kwangu.Kwa nyakati hizi ili upate ubunge basi usicheze chini ya mil 30 walau. Ukiwa na zaidi ya hiyo fedha ubunge unakuwa rahisi kuupata zaidi
Kumbuka mchakato ni wa CCM na si wananchi. Ndani ya CCM bila pesa hutoboi.Km Baba levo anakubalika Tu hajaanza harakati toka mwaka juzi wazo alipata baada ya kuona upepo watu wanajitokeza kwa wingi probably ametumia chini ya miilion 20
Na kwa taarifa tu Baba Levo alikamatwa na TAKUKURU akiwahonga wajumbe ila kuna sim ilipigwa akaachiwa kimyakimya. Kifupi hela katumia japo haiwezi kufika 1B ila 200M+ zimemtoka.Makadilio ya Kugombea na Kushinda
Rate ya kutoa kwa Wajumbe wa kawaida ni kuanzia 30,000 to 50,000(Wajumbe 3,000*40,000=120,000,000)
Rate ya Viongozi wa Chama Ngazi ya kata(Vijana, Wanawake, n.k , Viongozi 10* kata 20* 500,000=100,000,000)
Rate ya Viongozi wa Chama Ngazi ya Wilaya(Vijana, Wanawake n.k viongozi 20*1,000,0000=20,000,000)
Pesa ya Wapambe na gharama nyingine n.k 20,000,000
Jumla ya Makadilio ya Chini =260,000,000
Ndo ishakuwa hivyo, hakuna namnaHivi takukuru mko wapi mpaka haya maswala yanafanyika, hongo kipindi cha uchaguzi kinawanyima haki wananchi kuchagua viongozi sahihi wa kuleta maendeleo kwenye majimbo
Angalau 300M to 500M kwa level ya ubunge kulingana na jimbo lenyeweMilioni 30 ni ndogo sana, hela ya bia hiyo watu kibao wanayo.
Imagine Kinondoni wanajitokeza watu saba, tisa, kum challenge Ponjolo Tarimba. Richest district in the country.
Hivi Kinondoni au Ilala, Kariakoo kwa Zungu pale, nani hana milioni 30 ya kuchezea, ukiondoa mimi na wewe ?
Nimeuliza wilaya za Dar, jamani hamna watu wenye kisu cha kupambana na Tarimba, Zungu, Chaurembo, Kairuki, mtubadilishie hizi sura chechefu for heavens sake, wakasema watu tupo ila hatutaki ku gamble hela kwa saab kuna kukatana majina hata ukishinda, na hawajulikani CCM.
Kwa hiyo zinahitajika nyingi mpaka matajiri wanaogopa ku bet. Kata moja tu ya Mbweni Beach watu wenye mil 30 ya kuchoma kwa demu mmoja wapo watu kama mia tano! Lakini wanabonyea wakati wa ubunge!
Inahitajika zaidi ya milioni 30 kutafuta ubunge. In my humble analysis.
1B inaweza isifike ila 300m ni kawaida sana kwenye kupambania kupitishwa.Nipo natoka safari kutoka dom kwenda dar nimekutana na mjumbe kutoka kigoma,anasema Baba levo kwa kura alizopata baba levo tofauti ya 80+ alimwaga pesa sio chini ya bilioni moja point mbili.
Nimekubaliana na mjumbe maana kwa zile kula ukizngatia ni mgeni CCM kweli alipambana kwa kuhonga hizo pesa wajumbe maana sio kwa utata ule kwenye matokeo Ndio maana na ujenzi wa mjengo wake alisimamisha
Napata picha hata washindi waliowapiga chini watetea nafasi kama yule wa iringa na wa makambako bwana chongolo pesa zimewatoka sana.
Jamani watoto wa masikin ubunge mtausikiq kwenye redio tu,ujipange haswaa.
Mbona itakuwa ni uwekezaji wa hasara, maana hiyo pesa hailingani thamani na mafao anayopata mbunge wa kawaida kwa awamu moja?Nipo natoka safari kutoka dom kwenda dar nimekutana na mjumbe kutoka kigoma,anasema Baba levo kwa kura alizopata baba levo tofauti ya 80+ alimwaga pesa sio chini ya bilioni moja point mbili.
Nimekubaliana na mjumbe maana kwa zile kula ukizngatia ni mgeni CCM kweli alipambana kwa kuhonga hizo pesa wajumbe maana sio kwa utata ule kwenye matokeo Ndio maana na ujenzi wa mjengo wake alisimamisha
Napata picha hata washindi waliowapiga chini watetea nafasi kama yule wa iringa na wa makambako bwana chongolo pesa zimewatoka sana.
Jamani watoto wa masikin ubunge mtausikiq kwenye redio tu,ujipange haswaa.
Hahahaha.. Propaganda kama propaganda nyingine ausio!!
Nipo natoka safari kutoka dom kwenda dar nimekutana na mjumbe kutoka kigoma,anasema Baba levo kwa kura alizopata baba levo tofauti ya 80+ alimwaga pesa sio chini ya bilioni moja point mbili.
Nimekubaliana na mjumbe maana kwa zile kula ukizngatia ni mgeni CCM kweli alipambana kwa kuhonga hizo pesa wajumbe maana sio kwa utata ule kwenye matokeo Ndio maana na ujenzi wa mjengo wake alisimamisha
Napata picha hata washindi waliowapiga chini watetea nafasi kama yule wa iringa na wa makambako bwana chongolo pesa zimewatoka sana.
Jamani watoto wa masikin ubunge mtausikiq kwenye redio tu,ujipange haswaa.
Wajinga sana Wanamchukulia bilioni kama shilingi mia baba Levo angekua na hiyo pesa Unafikiri angeenda kigoma kugombeaBilioni moja unadhani ni makalio kila mtu anayo eeh
Uongo watu wengi wasingekua wabungeBajeti ya kampeni ndani ya CCM ya mtu anayetegemea kuwa mshindi haya wa pili Jimbo la vijijini ni zaidi ya million 400