ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Ligi za mpiraYah 30 n kdg kwa mbunge, hvy nakuunga mkono kusema kwa mbunge aandae sio chini ya 200.
Kuna mbunge fulani tangu mwezi wa nne mwaka huu umesha-print t-shirt zake za kampeni ametumia 10M kwenye kuprint tuu hizo t-shirt achana na kuzinunua.
Misaafu
Jezi
Jezi za CCM
Mpira
Posho
Usafiri
Posho za kampeni meneja
Hongo kwa Wajumbe wa halmshauri