GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwenye hizo bilioni asiwasahau na Wagombea wenza.
 

Makadilio ya Kugombea na Kushinda

Rate ya kutoa kwa Wajumbe wa kawaida ni kuanzia 30,000 to 50,000(Wajumbe 3,000*40,000=120,000,000)

Rate ya Viongozi wa Chama Ngazi ya kata(Vijana, Wanawake, n.k , Viongozi 10* kata 20* 500,000=100,000,000)

Rate ya Viongozi wa Chama Ngazi ya Wilaya(Vijana, Wanawake n.k viongozi 20*1,000,0000=20,000,000)

Pesa ya Wapambe na gharama nyingine n.k 20,000,000



Jumla ya Makadilio ya Chini =260,000,000
 
Hivi takukuru mko wapi mpaka haya maswala yanafanyika, hongo kipindi cha uchaguzi kinawanyima haki wananchi kuchagua viongozi sahihi wa kuleta maendeleo kwenye majimbo
 
Milioni 200 labda chama cha upinzani ila kwa ccm watu wamefilisika hasa kuna mtia nina kamaliza zaidi ya ml 400 na wajumbe wamemla kichwa miaka hii siasa imekuwa ngumu haswa maana wafanyabiasha wakubwa wanakimbilia huko kwaajili ya kujilinda na madili yao hivyo wanamwaga pesa balaa
 
Yani unaamini kwa miaka mitano mbunge hapati bilioni!!
 
Bilioni ni hela ya kawaida sana zama hizi mkuu watu ambao huwadhani yani watu wa kawaida sana wanazo hizo kwa wingi tu
Baba levo kutumia bilioni inawezekana kabisa na sababu zipo wazi
We unayo hiyo bilioni hapo
 
Kwa nyakati hizi ili upate ubunge basi usicheze chini ya mil 30 walau. Ukiwa na zaidi ya hiyo fedha ubunge unaku rahisi kuup+q+ata zq8aidi
Milioni 30 ni ndogo sana, hela ya bia hiyo watu kibao wanayo.

Imagine Kinondoni wanajitokeza watu saba, tisa, kum challenge Ponjolo Tarimba. Richest district in the country.

Hivi Kinondoni au Ilala, Kariakoo kwa Zungu pale, nani hana milioni 30 ya kuchezea, ukiondoa mimi na wewe ?

Nimeuliza wilaya za Dar, jamani hamna watu wenye kisu cha kupambana na Tarimba, Zungu, Chaurembo, Kairuki, mtubadilishie hizi sura chechefu for heavens sake, wakasema watu tupo ila hatutaki ku gamble hela kwa saab kuna kukatana majina hata ukishinda, na hawajulikani CCM.

Kwa hiyo zinahitajika nyingi mpaka matajiri wanaogopa ku bet. Kata moja tu ya Mbweni Beach watu wenye mil 30 ya kuchoma kwa demu mmoja wapo watu kama mia tano! Lakini wanabonyea wakati wa ubunge!

Inahitajika zaidi ya milioni 30 kutafuta ubunge. In my humble analysis.
 
Weee mjinganila mwisho àu jiooooooni huuu ndio ukweli pesaaaaaa chapati sasampa mapene ndululu shillingi ndio khabari yanmjini elimu ije baadae
 
Duh sure bro
 
Watu hawajui tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…