GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa nyakati hizi ili upate ubunge basi usicheze chini ya mil 30 walau. Ukiwa na zaidi ya hiyo fedha ubunge unakuwa rahisi kuupata zaidi
Chini ya million 300 hutoboi ndani ya CCM, chukua hiyo kutoka kwangu.
Kuna team yako ya ushindi, kuna viongozi wa chama na kuna wajumbe...then kuna watu wa kati wa kukupigania kwenye kamati kuu (japo wengi matapeli ila ndo hela lazima uwape)
Tusijidanganye ndugu zangu, siasa ni pesa na ukiingia jipange (kupitia CCM) jipange hasa.
Namna pekee ya kupata ubunge kwa njia rahisi ni kupitia upinzani maana huko ni kujua namna ya kucheza na akili za wananchi na kutia huruma.
 
Km Baba levo anakubalika Tu hajaanza harakati toka mwaka juzi wazo alipata baada ya kuona upepo watu wanajitokeza kwa wingi probably ametumia chini ya miilion 20
Kumbuka mchakato ni wa CCM na si wananchi. Ndani ya CCM bila pesa hutoboi.
Kuna team ya ushindi, viongozi wa chama, wajumbe na madalali.
Kuna vifaa vya kazi (kofia, tshirts, usafiri n.k) hapo bila 300M hutoboi na jina litakatwa kabla ya kufika kwa wajumbe.
 
Na kwa taarifa tu Baba Levo alikamatwa na TAKUKURU akiwahonga wajumbe ila kuna sim ilipigwa akaachiwa kimyakimya. Kifupi hela katumia japo haiwezi kufika 1B ila 200M+ zimemtoka.
 
Hivi takukuru mko wapi mpaka haya maswala yanafanyika, hongo kipindi cha uchaguzi kinawanyima haki wananchi kuchagua viongozi sahihi wa kuleta maendeleo kwenye majimbo
Ndo ishakuwa hivyo, hakuna namna
 
Angalau 300M to 500M kwa level ya ubunge kulingana na jimbo lenyewe
 
1B inaweza isifike ila 300m ni kawaida sana kwenye kupambania kupitishwa.
Narudia tena ni kawaida sana kutumia kiasi icho tena sometime kisitoshe
 
Wajumbe licha ya kula pesa za wagombea na wao huwa na chaguo lao moyoni unaweza cheza na Akili zao na wakikubali sera zako wanakupa kura hata bila kuwapa kitu, unachotakiwa kuwambia ni kwamba wachukue pesa kokote lakini kwa kuwa Kura ni Siri hapo ndipo pa kuchagua mtu sahihi, kula pesa chagua mtu sahihi hata kama hajakupa pesa , kura ni siri hakuna wa kujua umempigia nani
 
Umenikumbusha, kuna mwaka nilienda kufanya kazi Simiyu nikakutana na story kwamba kuna jamaa ana trilioni 6 tena cash na anaishi Lamadi. Nilibaki kucheka tu kimoyomoyo ila niliamini Tanzania kuna wajinga wengi sana.
 
Mbona itakuwa ni uwekezaji wa hasara, maana hiyo pesa hailingani thamani na mafao anayopata mbunge wa kawaida kwa awamu moja?
 


Habari za kwenye basi za kuambiwa na mjumbe Stadard 7 mmekutana kwenye bus, unaleta huku hata huna uhakika wala ukweli wowote, yaani stories tu, hivi JF imekuwa na watu wapuuzi na majinga sana, hizi ni akili za betting, vijana siku hizi majinga sana
 
HIVI MBONA bilioni sik uh HIZI inadharaulika hivo? DAH hii nikiita chai sitoridhika ACHA niite kahawa



Kwishaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…