PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Licha ya majeruhi hawa kulikuwa na barriers za polisi na FFU njia zote kuu za kuingia Dar... Kituo cha iliyokuwa mizani ya zamani pale Kibaha.. Walipiga kambi siku nzima na hakuna basi la abiria toka mikoani lililipita hapo bila kukaguliwa abiria iliyowabeba
 
Mbegu lazima iozee kwanza ndio izae. Mbegu ya damu💪💪
 
Suala la watu kujitoa mhanga sasa, liko mbioni ili kukomboa wananchi
 
Nikiuwawa utapata faida gani...
Si unafurahia watu wa chadema kuvunjwa mikono , miguu, uti wa mgongo na wengine kupoteza Maisha kwa vipigo instant.

Note.
For years tumekua tunavumiliana waislamu,wakristo, Simba na yanga, chadema na CCM. Kitendo Cha kuwapiga watu sikiungi mkono hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…