TANZIA Kutoka Qatar; Muungaji mambo ya ushoga Grant Wahl afariki ghafla

Kwahiyo..wema hawafi.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Hakuna bonadamu ambae hatakufa regardless of matendo yake
 
Kwahiyo nchini kwake Mungu hakumuona kaenda kumuonea huko!!!
 
Sodoma na gomora waliangamizwa/walikufa kutokana na matendo yao ya kishetani.
ukifanya matendo maovu ya kumchukiza aliye kuumba jua mungu atakushughulikia kwa namna yake either kifo, maradhi au ajali.
Wanaopata ajali, wagonjwa na wanaokufa ni wale waliomkosea Mungu.

Soma vizuri maandiko, Mungu anataka tumpende sio tumuogope.
 
Homosexual guys are like cancer should be eradicated from the eath surface by any means available. This should be every one duty then after is up to God whether will forgive them or not
Hujajibu swali.
 
Homosexual guys are like cancer should be eradicated from the eath surface by any means available. This should be every one duty then after is up to God whether will forgive them or not
Hawa wa kibongo mbona mnashindwa kuwaondoa? Maneno yenu na vitendo vyenu ni zero kabisa. Ndio maana huwa naona kama nyie ndo wadau/wateja wakubwa wa hao watu.
 
Huyo kafa kama mtu anavyoweza kufariki, Matendo yake na kifo chake hayana uhusiano hata kidogo, Ni nani msafi sasa asimame na aseme yeye ni msafi?
 
Acha akufe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…