TANZIA Kutoka Qatar; Muungaji mambo ya ushoga Grant Wahl afariki ghafla

Hawa wa kibongo mbona mnashindwa kuwaondoa? Maneno yenu na vitendo vyenu ni zero kabisa. Ndio maana huwa naona kama nyie ndo wadau/wateja wakubwa wa hao watu.
Ukiona mtu anapiga mayowe sana kwa jambo flan ujue yeye ndiyo muhusika zaidi.
 
KAMA NI KWELI ASANTE SANA MUNGU WA MBINGUNI.


UO UPUMBAVU WAO NAUCHUKIA HATARI.

YANI NINA ALEGY NA DHAMBI
Kwa hiyo wewe kwenye familia yako watu huwa hawafi,hamjawi kufiwa na je wanaokufa ni hawa wenye matendo maovu tu?
 
Kwaiyo ninyi hamtakufa
 
Sodoma na gomora waliangamizwa/walikufa kutokana na matendo yao ya kishetani.
ukifanya matendo maovu ya kumchukiza aliye kuumba jua mungu atakushughulikia kwa namna yake either kifo, maradhi au ajali.
usipo fanya matendo mabaya hufi.
 
Sipatani na wafia dini, mara zote hawana hoja wamekaririshwa na kuwa brainwashed.
Hawana akili ya kuchanganua mambo kiuhalisia.
wewe unaweza kuchanganua mambogani? kiazi wewe.
 
Mtu kavutishwa sumu umekazana kumsingizia Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…