Binamu yangu alishindwana na Black american wake baada ya kupata shavu bongo. Aliwaacha mke na watoto akarudi zake na maisha yake yako poa sana.Hii story ina maswali mengi sana aisee, ila amepiga wrong moves nyingi. Pia kuacha mke ulaya na kuja kuoa tena huku nadhani alikosea sababu Mungu huitambua ndoa moja. Kwa wanadamu kuna kuachana ila kwake hakuna kuachana.
Nipo Tandale boss wanguUpo Nyarugusu? mamtoni ndio wapi?
Walifanikiwa. Yule jamaa kuna wakati alikaa Marekani kwa kibibi. Kwa sasa wana kampuni kubwa ya utalii ni mamilionea.What! Na walifanikiwa dili Lao ama lilibuma😅
This is just a story, haikarbiani hata na ukweli
Ata m-buyu ukonde vip hauwez kuwa mchicha
Watakao shindwa kuelewa hapa basi hawajapitia maisha ya upambanaji hasa anguko.Maisha yana mambo mengi sana, navyozidi kukua nazidi kuepuka kuwa mtoa hukumu na kujaribu kuwa muelewa zaidi. Hatuwezi kujua mwamba alipitia nini katika maisha mpaka kuchukua hatua ya kurudi nyumbani, kikubwa tumuombee. Kuna facts mbalimbali mfano:
1: what if alikuwa anatuma pesa za kujiandaa kurudi nyumbani ndugu wakala hizo pesa,
2: What if alikumbana na changamoto za kazi hususan ubaguzi katika sekta ya Anga U.S akaona ajipange na kurudi tu nyumbani.
3: what if ialipewa ahadi ya potential ya kazi akirudi Kenya.
Ndugu zangu maisha ya mwanaume ni ya vita muda wote, wakati mwingine matarajio hayakidhi uhalisia. Mungu atupe nguvu ya kushinda mapambano yetu
Lakini Kenya ni extremely capitalist nation, kwa mtu wa chini sio rahisi kutoboa kimaisha ukifananisha na TanzaniaMhmm sio kweli , kuna watanzania maelfu wapo kenya na wana maendeleo makubwa sana
AiseeWalifanikiwa. Yule jamaa kuna wakati alikaa Marekani kwa kibibi. Kwa sasa wana kampuni kubwa ya utalii ni mamilionea.
Alioa mkenya mwenzie! Happy ndo kosa lilipo anzia, ni maoni yangu tuLakini system mbovu kivipi? Huyu jamaa na yeye naona ali miscalculate vitu vingi. Baadaya kuishi na kufanya kazi Marekani muda wote huo, dola 5000 ya kupata certification ya u pilot Kenya ilimshindaje?
Au ni afadhali basi angeendelea kuvunga kidogo huko USA huku akikusanya pesa kisiri siri kabla ya kufunga safari kurudi Kenya.
Watu wakisikia biashara Huwa SIJUI wanaelewaje, yani Huwa wanajua nikufanya tu na kutoboa, sishangai jamaa anacho fanya, mwalimu wangu wa advance na elimi yote aliyokua nayo mke wake alikua muuza nyanya sokoni sembuse huyu mgeni wa mazingira na mfumo? anyway ni maisha tu tumuombe sana munguMtaji hana afanyeje?...Tena mi namuona shujaa, maana mwingine angejiua!
Biashara sio kitu kirahisi. Naonaga wakati mwingine ni kipaji maalum toka kwa Mungu.Watu wakisikia biashara Huwa SIJUI wanaelewaje, yani Huwa wanajua nikufanya tu na kutoboa, sishangai jamaa anacho fanya, mwalimu wangu wa advance na elimi yote aliyokua nayo mke wake alikua muuza nyanya sokoni sembuse huyu mgeni wa mazingira na mfumo? anyway ni maisha tu tumuombe sana mungu
Yuko sahihi melfu, sababu washikaji wangu wengi pale chuga, karibia kila MTU ashafika nairobiMkuu hayo maelfu ulihesabu lini?
Washkaji zako kufika Nairobi ndo inahalalisha uwepo wa maelfu ya watanzania huko Kenya?Yuko sahihi melfu, sababu washikaji wangu wengi pale chuga, karibia kila MTU ashafika nairobi
Wanaoponda hawajawahi kwenda kuishi tu HATA hapo zanzibarHome sickness ukiwa nje ya nchi yako isikie tu kwa mwenzio
Hapana mkuu kila kijana anakwambia ashatimba hapo tena kibao tu, mfano Kuna chali anasoma kule chuo na anadai it's normal tu kam huku, alafu mkuu watu elfu moja mbona kidogo sana Bora angesema milioni ila elfu kidogo sana kwa ukaribu uliopo kidogo sanaWashkaji zako kufika Nairobi ndo inahalalisha uwepo wa maelfu ya watanzania huko Kenya?
Hiyo biashara ya chupa mnaidharauje ili Hali fransis Cheka alitajirika kupitia biashara ya chupa mpaka kujenga shuleKama bado unapumua haina haja yakukata tamaa. Kukosea ni sehemu ya maisha!
Mkuu hata mimi ni mzaliwa wa Arusha na nimekulia huko. Nairobi napajua kuliko hata Dar. Nikuhakikishie kuwa maisha ya Nairobi sio mepesi. Hao machalii labda walikuwa wa kwenda na kurudi kibiashara.Hapana mkuu kila kijana anakwambia ashatimba hapo tena kibao tu, mfano Kuna chali anasoma kule chuo na anadai it's normal tu kam huku, alafu mkuu watu elfu moja mbona kidogo sana Bora angesema milioni ila elfu kidogo sana kwa ukaribu uliopo kidogo sana
Depression ni mbaya. Hata ughaibuni maisha yanaweza kukupiga mpaka ukawa homeless!Unakimbia Marekani unarudi Africa, eti kisa ni MuAfrica,ukibahatika kutoka katika bara hili la giza nenda ukakaze huko na hakikisha haurudi nyuma. anyway acha ateseke,hili ni funzo kwa vijana wa kileo.