Kutoka Ubalozi hadi mkimbizi wa kisiasa: Rekodi nyingine mpya ya Polepole

Kukiwa na level playing field, risk ya CCM kung’olewa ni kubwa kuliko unavyofikiria. Ni hulka ya binadamu kuchoshwa na status quo na kutaka mabadiliko even if that means change for the sake of it!
 
Drama za wasanii zilibuma, sasa CCM imetuletea drama za Balozi. Tukistuka itakua October na uchaguzi unapita.

Baada ya uchaguzi remote itasema sote ni wa Watanzania tuijenge nchi yetu. Ooh kumbe bado ni usiku na hii ni ndoto tu!

Hii ya sasa sio drama. Hii ni vita ya madaraka. Wakati wa EL na Membe, wale wazee waliokuwepo, waliweza kuzima mitafaruku kama hii.

Kwa sasa, nani anayeweza kutupa mwelekeo sahihi na kuinusuru chama dola?
 
Ana hadhi gani sasa hivi ya ukazi huko aliko?
Kaacha kazi kwa kanuni alipaswa kurudi nchini aendelee na majukumu mengine.. Nje ya hapo popote alipo kwasasa ni mkimbizi wa kisiasa na Kama hajaomba hifadhi ya ukimbizi basi yuko kwenye mchakato
Mimi hukuniamini, lakini Polepole mwenyewe alisema kuwa hawezi kwenda popote,yupo hapahapa na Kuna siku alorekodi video alfajiri akiwa posta, mkasema ya zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…