Kutoka uchumi wa kati hadi kupapasa gizani tumepiga hatua

Hili suala ukiliangalia kwa mtazamo chanya lina faida nyingi kuliko hasara,mfano mimi nimeweka umeme wa buku 5,mwezi sasa hauishi,.hapa na type umeme hakuna simu nilicharge kibaruani kuna generator,.CCM HOYEEEE
 
Ni Mgao au hitilafu?
 
Hakika imepoa kwa sababu hata umeme wa kuendeshea shughuli za maisha umegeuka luxury commodity.

Nishati ya mafuta ni deal la Abdu.

Endelea kupiga makofi ya shangwe
Umeme ni swala dogo mwisho wake January mvua ikinyesha na baada ya June hutosikia tena Kuna mgao Hadi 2100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…