Kutoka uchumi wa kati hadi kupapasa gizani tumepiga hatua

Hujui kitu zaidi ya porojo za machadomo
 
Uchumi ambao mnauona nyinyi tu... Huku mtaani hauonekani? Umeme kukatika, vitu kupanda bei, mafuta ya petroli bei na mambo kadha wa kadha.

Au mnatuona watanzania ni wajinga si ndio
Mabikioni Kwa mabilioni ya miradi zinashushwa na mvua hazitoki mtaani?

Endelea kukaa kijiweni zitakufuata.
 
Nchi ipo kwenye wakat mgumu Sana, matapeli ya siasa hata hayana muda na sisi
 
baada ya mikutano ya kisiasa kuruhusiwa,
mibichwa ya watu na viatu imepata ganzi ya hoja.

Hamna hoja kabisa yaan....
 
Duh, kumbe upo aisee nilifikiri cm yako Haina chaji Maana umeme ni anasa kwasasa nchi ya hovyo sana hii sijui viongozi wake ni kina nani! Miaka 70 ya uhuru Bado umeme hakuna? Aibu iliyoje! Shame on them all hasa yule kipara ndo kaacha laana hii ya kukosekana umeme!
Taifa letu linapaa kimaendeleo na kuwa mfano wa kuigwa Barani Afrika. Ni kazi ya serikali ya CCM Ambayo imeifanya Tanzania kupata mafanikio katika kila eneo.
 
Nyerere ndio wakwanza kututengenezea aina hii ya viongozi wa ccm tulionao leo
 
huku walikata ijumaa, jmosi ukawaka, wakakata jpili, j3 ukawaka
leo wamekata asubuhi, wakarudisha saa 7
wamekata tena mda huu swafi kabisa
Au ndio baada ya uchumi wa bluu, umekuwa uchumi mweusi
 
Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila soni
Yeye ndie chanzo cha yote haya, hii ni ajabu sana kumsifu alieanzisha na kuwalaumu wanafata mkondo
'Kidumu chama cha mapinduzi '
 
baada ya mikutano ya kisiasa kuruhusiwa,
mibichwa ya watu na viatu imepata ganzi ya hoja.

Hamna hoja kabisa yaan....
Kwa nini mikutano ilizuiwa
Kwa nini iliruhusiwa?

Tuanze kutambuana watu halisi against misukule🤣
 
Usidhani unatoa majibu ya hovyo kwangu, bali unaliambia Taifa ambapo wengi ni wasomi wa Cuba ambao they can unmask Romans anywhere everywhere

mnasema kila wilaya inapewa bilion 50 (hatujui kama za maendeleo au basketry) badala ya bilion 2. Mbona ripoti ya CAG inasema vinginevyo? Asilimia ya fedha zinazopelekwa za maendeleo zinakuwa pungufu hadi chini ya 30%?

Ndo maana nakwambia kawadanganye wale chiriku mnaowasomba kwa malori ambao kwao hali ngumu wanajua ni God's given na siyo chama cha mapinduzi
 
Sio za maendeleo Ni za basketry,naendelea kukudanganya kama ifuatavyo 👇

View: https://twitter.com/TaruraTz/status/1711698869707309151?t=fnFgGobNkbrqgXo19op1Bw&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…