Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #81
acha kujifaliji kwa jambo ambalo hata wasanii , ccm wenzako wanajua watu wamejaa kwa sababu gani,,Pwahaha kama hujui uliza.
Kuna vijana Jazz ni wenu!?
Pwahahaha CCM chama kiongozi barani Afrika
Majizi
Chama Cha Ma free mason
Sitarajii Admin ufute hii thread kwani ni habari ya ukweli, imetokea jana na TAIFA zima limeshuhudia...Katika hali isiyo ya kaiwada jana CCM wamezindua rasmi kampeni uchaguzi 2020 zilizofanyika katika uwanja wa UHURU huku zikihuduhiriwa na uongozi mbali mbali wakiwemo wa serikali pia kama Msemaji mkuu wa Serikali. Kampeni hizoamabzo zilipewa jina la TAMSHA LA CCM zilichagizwa na wasanii mbali mbali wa mziki huku kila mmojawapo akihamasisha na kumkampenia Rais magufuli katika uchaguzi wa mwaka huu ambaye nae baadae aliwahutubia wahudhuriaji kwa njia ya Simu. Kwa Teknolojia ya sasa huitaji mgombea kuwa sehemu ya tukio unaweza kutumia mitandao pia kuhutubia kama alivyofanya jana.
Kwa hili lilofanykja jana wadau wengi wa siasa wanasubiri tamko au adhabu ya NEC dhidi ya CCM kwa tukio lilitokea jana. Kwa muijbu wa sheria za uchaguzi kuanza kampeni kabla ya mda wake adhabu yake ni mgombea wa chama husika kuengeliwa katika uchaguzi.
Nawakilisha.
Hahaha, bora hao walizindua lakini wengine walianza kampeni bila hata kuzindua.Katika hali isiyo ya kawaida jana CCM wamezindua rasmi kampeni uchaguzi 2020 zilizofanyika katika uwanja wa UHURU huku zikihuduhiriwa na viongozi mbali mbali wakiwemo wa Serikali pia kama Msemaji mkuu wa Serikali. Kampeni hizo ambazo zilipewa jina la TAMASHA LA CCM zilichagizwa na wasanii mbali mbali wa muziki huku kila mmojawapo akihamasisha na kumkampenia Rais magufuli katika uchaguzi wa mwaka huu ambaye nae baadae aliwahutubia wahudhuriaji kwa njia ya Simu. Kwa Teknolojia ya sasa huitaji mgombea kuwa sehemu ya tukio unaweza kutumia mitandao pia kuhutubia kama alivyofanya jana.
Kwa hili lilofanykja jana wadau wengi wa siasa wanasubiri tamko au adhabu ya NEC dhidi ya CCM kwa tukio lilitokea jana. Kwa muijbu wa sheria za uchaguzi kuanza kampeni kabla ya mda wake adhabu yake ni mgombea wa chama husika kuengeliwa katika uchaguzi.
Nawakilisha.
ccm kwa akili zao zilivyo ndogo wao wanajaribu kuyafanya hao Kama kujibu nyomi za Lissu kila anapokanyaga huko mikoani..wanashindwa kujua kuwa mhe.lissu hatumii wasanii kujaza watu kila anapoenda ..Sasa Jana pamoja na yote wakaishia kupigana jukwaani na kushushana stejini ..Jana ilikuwa varangati ya aina yake huku msanii Temba akiwatolea uvivu polisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitarajii Admin ufute hii thread kwani ni habari ya ukweli, imetokea jana na TAIFA zima limeshuhudia...
Umeandika Nini Sasa .Hahaha, bora hao walizindua lakini wengine walianza kampeni bila hata kuzindua.
Mkuu Lissu amewavuruga kabisa na Sasa ile hoja ya Lumumba Buku7 kuwa Lissu ataenguliwa kwa sababu kaanza kampeni kabla ya wakati ndio imzikwa rasmi kwa tamasha Hilo.Alafu walikuwa wanadai eti Lissu kaanza kampeni kabla ya wakati.
Kwa kifupi Ni kwamba CCM imekwisha ingia kwenye 18 ya wapiga kura.Hapo kipengele Cha NEC hakijakiukwa sababu ni ccm, NEC kuipa hukumu ccm Ni sawa na Takukuru kukamata ccm
Siku ukihisi kujua dhana nzima ya siasa, Utaelewa nimeandika nini.Umeandika Nini Sasa .
Kama walianza kampeni bila kizindua Basi hizo sio kampeni.
Ni mikutano ya kawaida tu ya Kisiasa.
Kwahiyo usipoweka neno kuzindua kwenye mikutano yako yote mpaka siku ya uchaguzi utahesabika hujafanya kampeni kwasababu hujazindua kampeni? Ila ulikua unafanya mikutano tu isiohusiana na uchaguzi?Umeandika Nini Sasa .
Kama walianza kampeni bila kizindua Basi hizo sio kampeni.
Ni mikutano ya kawaida tu ya Kisiasa.