Kutokana na hii story yangu hauwezi nikuta humu nashabikia kutoa watoto EMs na ISs na kuwapeleka kayumba

Hahaahh

Hatariiiio
 
Hakika
 
Mtoto wa EM hana chochote za ziada anachomzidi mtoto wa Kayumba ukiangalia kwa jicho la 3, hana. Mimi sio muumini wa matokeo ya As ama Bs ambazo zinapatikana EM kwa kuiba mitihani na mambo kama hayo. Mimi ni muumini wa analytics, watoto hawa wa EM zaidi ya matokeo hana kingine anachomzidi wa Kayumba.
 
Binafsi sijaelewa hii kampeni ni ya nini na ni kwa maslahi ya nani.

Je inaendeshwa na victims (watoto waliosomeshwa EMs wakalost kwenye maisha) au inaendeshwa na wazazi (wenye kupenda watu wafanane/wafuate mitazamo yao)
Inashangaza sana...mi naona kilamtu ajikune pale mkono unafikia
 

Watu wanahamasishana upumbavu, nafikiri wenye uelewa mdogo ndo watafuata ushauri wa kipumbavu
 
Naona wamiliki wa shule za EM's baada ya kuona mnaharibiwa soko la biashara zenu mmeamua kujibu mapigo
Wamiliki wa shule si maadui, wanatoa huduma, Wanalipa kodi na wanatoa ajira.

Tatizo nini? Serikali haiwezi kuhudumia mahitaji ya kielimu bila wadau kutoka sekta binafsi.

Yall taking everything personal!
 
Yani Dunia inakuelemea ukiwa katikati ya wanaojua Kingereza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…sa hiyo huna wa kumlaumu. Uko peke yako, hujiwezi. Hadi Tell us about yourself inakutoa Jasho πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜…πŸ˜…
Hapo ndiyo shida inapoanzia. Timedaganywa kwamba kujua kingereza ni kuwa na Akili nenda China utashangaa waafrica bado tu watumwa wanl wazungu 100%
 
unao wangapi?
 
Sahihi kabisa mkuu. Halafu mtoa Mada hajui hata Nini maana ya private school.

What is private about EMS kama hawatumii mtaala wao wenyewe wana tumia mtaala wa NECTA?

Unaposema wewe ni private school maana Yake hata mtaala wako pia unapaswa kuwa private.

Sio unasema wewe ni private halafu mtaala unatumia wa public

The only private thing about shule za EMs za kibongo ni majengo Yao lakini everything about them is public

Hata English yenyewe hazifundishi isipokuwa kinacho fanyika ni just mentioning. Yani masomo kwenye shule za EMs yanakuwa mentioned in English na Sio kufundishwa in English.

Mtu ambae Sio mzungumzaji WA lugha ya kiingereza Kwa kuzaliwa hana uwezo WA kufundisha somo lolote lile Kwa lugha ya kiingereza but he can mention it in English.


Kama Kweli mzazi upo serious na hiyo unayoita elimu Kwa kiwango hicho Basi shule zinazo fundisha Kwa mtaala wa Cambridge ambazo ada zake ni walau kuanzia milioni 25 Kwa mwaka.


Lakini hizi za kumilikiwa na wakina Muggetta za kulipa milioni 2, 3 au 4 Kwa mwaka ni upuuzi mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…