π€£π€£π€£π€£π€£Naona wamiliki wa shule za EM's baada ya kuona mnaharibiwa soko la biashara zenu mmeamua kujibu mapigo
Kwa hizi busara wewe ungefaa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA. HAKUNA FARAJA KWENYE UFUKARA. Pia shule za msingi za zamani zilikuwa zina unafuu kutokana na uchache wa wanafunzi na waalimu wenye wito. Hata kama kiingereza hatukujua lakini angalau tuliweza kuwa na miandiko mizuri na mambo kama kuandika barua ya kikazi kwa kiswahili tuliweza. Sasa hivi ukimwambia mtoto wa darasa la 7 andika barua ya kikazi hawezi. Mimi naunga mkono hoja yako kuwa kiingereza kianzie darasa la kwanza.Bottom line is, usifanye chochote kilicho nje ya uwezo wako.
Ikiwa una uwezo wa kulipa private school, ni busara kumpeleka mtoto huko. Hakuna faraja kwenye ufukara. Kuna tofauti kubwa sana ya uelewa baina ya mtoto wa darasa la watoto 20 (private school) na watoto 120 (Kayumba).
Mimi nashukuru Mungu ni product ya English Medium (Olympio ya 90's, St. Mary's ya late 90's, Early 2000's na mwisho Uganda).
Ukiwa na chimbuko zuri la Primary, secondary unatoboa shule yeyote. Hili nililiona baada ya kuhamishwa toka St. Mary's na kupelekwa Uganda. Ilikuwa nikiliganisha baina yangu na wenzangu wa Tz waliotoka shule za kawaida, nilikuwa na advantage kubwa ya kuelewa ikizingatiwa mtaala wa Uganda ni wa kiingereza toka chekechea.
Mtoto wangu wa kwanza yupo Secondary (Form 2) toka nursery amesoma English medium na sekondari nimempeleka shule ya Serikali, so far hakuna gumu lolote analopitia kwa swala zima la uelewa.
Kiuhalisia kinachoangusha elimu ya Tz hasa primary ni lugha. Ni ngumu kwa mtoto kufundishwa kwa kiswahili toka chekechea halafu ghafla form 1 unabadili kila kitu kwenda kwa Kiingereza. Hatma ya huyo mtoto ni kukariri definitions kuliko kuelewa hasa kinachofundishwa. Na hii huendelea mpaka kwenye ajira.
Ni kawaida kukutana na mtu mwenye masters lakini uwezo wake wa kujielezea ni mdogo mno japo anajua kile anachopaswa kukielezea.
Ifike wakati serikali iende na wakati na kubadili mfumo wa lugha ya kufundishia na kuwa Kiingereza toka mwanzo. Na wale wanaojimithilisha na China kusema kuwa Kiingereza hakina umuhimu basi pia wamithilishe na uchumi wao.
For as long as sisi ni nchi maskini, kiingereza hakiepukiki katika kutafuta fursa za kidunia.
Wenzako " education" is better than money ndio maana wana jikamua vimilioni wanavyo vipata Kwa tabu halafu eti wanaenda kuvichoma shule za EMs . Utoto raha Kweli u just think anyhowWazazi tutafuteni pesa
Money is better than education
Hapo ujipange vizuri asee. ni kama 10M kama wote wataenda EM hizi za kawaidaWatano
Shule nyingi za Kayumba wanafundisha English kuanzia chekechea japo rasmi ni kuanzia darasa la 3.Kwa hizi busara wewe ungefaa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA. HAKUNA FARAJA KWENYE UFUKARA. Pia shule za msingi za zamani zilikuwa zina unafuu kutokana na uchache wa wanafunzi na waalimu wenye wito. Hata kama kiingereza hatukujua lakini angalau tuliweza kuwa na miandiko mizuri na mambo kama kuandika barua ya kikazi kwa kiswahili tuliweza. Sasa hivi ukimwambia mtoto wa darasa la 7 andika barua ya kikazi hawezi. Mimi naunga mkono hoja yako kuwa kiingereza kianzie darasa la kwanza.
Kama wazazi wako hawakukusomesha kwenye shule zinazo fuata mtaala wa Cambridge za kulipa kuanzia walau milioni 25 Kwa mwaka basi they have just wasted their money for nothingIT IS A SIMPLE STORY BUT VERY MEANINGFUL....
Kile kipindi cha shule za EM zimeanza kuingia bongo kiliwakuta wazazi wangu wamejaliwa na Mungu uwezo. Wakaamua wanitoe kayumba na kunipeleka EM.
Kufika kule wale walimu walishangaa ni namna gani napaswa kuwa darasa la sita, wakati hakuna ninachokijua cha msingi. Kwa hio nikawa recommended nirudie la tano.
Aisee nilipigwa msasa, nakumbuka nilikuwa the slowest kid in class lakini nakuja kumaliza darasa la saba, ndio nilikuwa the best of the best student, kunyakuwa zawadi zote na pia kupata fursa ya kwenda special school ya serikali, kwenda special school za serikali ndio kipindi hicho zimeanza kupoteza uimara nikakutana ufundishaji mmbovu sanaaa.
Hadi hii leo kuna namna maisha yangu yalikuwa postively affected kutokana na malezi bora niliopata pale EM. Ninachokumbuka kayumba ni mwalimu aji darasani ni kupiga stori mkisubiria kengele, kutoroka shule kwa kuruka madirishani na kuingia mtaani kutafuta maembe, kuogelewa mtoni, etc, wenginne ndio walitekwa na kuchunwa ngozi, kuanza kuvuta bangi/madawa, etc
So mtu anaeponda EMs namshangaa sanaaaaa!!!
SO TUFANYEJE!!!
Kutokana na ongezeko la uhitaji wa elimu bora, shule za EMs zimekuwa nyingi huku nyingi zikishusha bei ili uje tu for the sake of "ninasomesha mtoto EM" , kwa hio tafuta shule yenye record nzuri ya malezi na matokeo bila ya kujali ada.
Kwa issue ya employment: ni aibu sana elimu aliopata mtoto wako unaipimia pale tu atapopata ajira. Unemployment nj global issue. Ni aibu unakuta unakunywa bia kila jioni, umepangishia kahaba au una suka misuko ya 50k kila baada ya wiki 1 na nusu alafu unasema kusoma EM ni kupoteza muda kwa maana hatakuja kupata ajira.
πππ basi kama mtu ni tajiri anamsomesha mwanaye Kayumba atakuwa ni punguaniShule nyingi za Kayumba wanafundisha English kuanzia chekechea japo rasmi ni kuanzia darasa la 3.
Halafu utajiri wa mtu haupimwi kwa kutazama shule ambayo mzazi unasomesha mtoto wako
Kwahiyo St Patrick au Arusha Modern ni sawa na Kigogo Primary?Kama wazazi wako hawakukusomesha kwenye shule zinazo fuata mtaala wa Cambridge za kulipa kuanzia walau milioni 25 Kwa mwaka basi they have just wasted their money for nothing
Ukweli kabisaMtoto wa EM hana chochote za ziada anachomzidi mtoto wa Kayumba ukiangalia kwa jicho la 3, hana. Mimi sio muumini wa matokeo ya As ama Bs ambazo zinapatikana EM kwa kuiba mitihani na mambo kama hayo. Mimi ni muumini wa analytics, watoto hawa wa EM zaidi ya matokeo hana kingine anachomzidi wa Kayumba.
Kwenye angle ipi,,?Kwahiyo St Patrick au Arusha Modern ni sawa na Kigogo Primary?
Funguka kidogo mkuu ili umsaidie mtoa Mada Kuna kitu anashindwa kukielewaUkweli kabisa
Tajiri ni nani?πππ basi kama mtu ni tajiri anamsomesha mwanaye Kayumba atakuwa ni punguani
ila nyie ....!!!
Mkuu sio kwamba kujua kingereza ndo kuwa na akili, bali kujua kingereza kunasaidia sana kwenye elimu na maisha ya kawaida.Hapo ndiyo shida inapoanzia. Timedaganywa kwamba kujua kingereza ni kuwa na Akili nenda China utashangaa waafrica bado tu watumwa wanl wazungu 100%
Kuna kusaidia ki vipi ?Mkuu sio kwamba kujua kingereza ndo kuwa na akili, bali kujua kingereza kunasaidia sana kwenye elimu na maisha ya kawaida.
Inshort hakikwepeki
Akili ndogo.Yani Dunia inakuelemea ukiwa katikati ya wanaojua Kingereza π π π sa hiyo huna wa kumlaumu. Uko peke yako, hujiwezi. Hadi Tell us about yourself inakutoa Jasho πππππ π
Kuna tofauti kati ya kusoma/ kufundisha kwenye darasa lenye wanafunzi 130 na darasa la wanafunzi 30/40. Kuna utofauti mkubwa sana.Sahihi kabisa mkuu. Halafu mtoa Mada hajui hata Nini maana ya private school.
What is private about EMS kama hawatumii mtaala wao wenyewe wana tumia mtaala wa NECTA?
Unaposema wewe ni private school maana Yake hata mtaala wako pia unapaswa kuwa private.
Sio unasema wewe ni private halafu mtaala unatumia wa public
The only private thing about shule za EMs za kibongo ni majengo Yao lakini everything about them is public
Hata English yenyewe hazifundishi isipokuwa kinacho fanyika ni just mentioning. Yani masomo kwenye shule za EMs yanakuwa mentioned in English na Sio kufundishwa in English.
Mtu ambae Sio mzungumzaji WA lugha ya kiingereza Kwa kuzaliwa hana uwezo WA kufundisha somo lolote lile Kwa lugha ya kiingereza but he can mention it in English.
Kama Kweli mzazi upo serious na hiyo unayoita elimu Kwa kiwango hicho Basi shule zinazo fundisha Kwa mtaala wa Cambridge ambazo ada zake ni walau kuanzia milioni 25 Kwa mwaka.
Lakini hizi za kumilikiwa na wakina Muggetta za kulipa milioni 2, 3 au 4 Kwa mwaka ni upuuzi mtupu
Wewe mwenzetu sekondari mpaka chuo umesoma kiswahili sio?Kuna kusaidia ki vipi ?