Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Haswa na wote majizi mpaka yanaigana kuibaHakuna mwadilifu hata mmoja sahv
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswa na wote majizi mpaka yanaigana kuibaHakuna mwadilifu hata mmoja sahv
Ova
Kinachouma zaidi ni shilingi inavyoporomoka siku hadi sikuNchi hii inaangamia tunaiona.........
Watu "wanajisombea" mabilioni huko maofisini, Kwa ruhsa aliyotoa Boss wao ya Kula Kwa urefu wa kamba zao😭
Anaiga wap ? Sokoine alkua mtu mwadilifu haijawai tokea ,,Maza tuu uongoz kagawa Kwa shosti zake na familia ,,mkwe naye ni wazir ,mtot ni mbunge na mwana naye anapewa deal kubwa kubwa za kufanya biashara nje na ndanTuanze na huyo huyo alietoa hiyo kauli, je na yeye anaiga mfano wa Sokoine?
Hayo maoni yake tuu ndo anastahili adhabu ya kifo Cha kupotezwa na hata pengine ndugu washndwe kuzka ndugu Yao Kwa heshima? Kwa kua ww unaonyesha ni mzoefu hao mliowapoteza miili Yao mlizika ? Au mliwapa wanyama wa mwituni wale binadamu wenzenu?Huyo mwamba mmempa bia alafu malipo yake sasa mnamchom humid mtandaoni.Hapo mmeshamuuza kesho na keshokutwa akidakwa na Wasiojulikana mtaanza kushangaa.
Kwanza Mimi binafsi sihitaji kusoma Wala kujifunza ainaa ya Uongozi wake Kwa vile siukubali ujamaa.Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu mkubwa na hakupenda kabisa ufisadi na yeye mwenyewe alikuwa ni mfano Kwa kutojilimbikizia Mali ya aina yoyote Ile.
Hebu viongozi wa sasa mnatakiwa myaishi maisha ya Hayati Sokoine wa kutotamani maisha ya starehe na kutojilimbizia Mali ya aina yoyote Kwa ufisadi.
Hebu tujiulize ni viongozi wangapi wa hivi sasa wanayaishi maisha ya Marehemu Sokoine ya uadilifu wa hali ya juu sana na kutotaka kujilimbikizia Mali Kwa njia ya ufisadi??
Huyo mama Abdul si muadilifu hata kidogo, anamiliki mali zenye thamani ya zaidi ya shs 50 bilioni na hawezi kueleza zilivyo patikana!Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu mkubwa na hakupenda kabisa ufisadi na yeye mwenyewe alikuwa ni mfano Kwa kutojilimbikizia Mali ya aina yoyote Ile.
Hebu viongozi wa sasa mnatakiwa myaishi maisha ya Hayati Sokoine wa kutotamani maisha ya starehe na kutojilimbizia Mali ya aina yoyote Kwa ufisadi.
Hebu tujiulize ni viongozi wangapi wa hivi sasa wanayaishi maisha ya Marehemu Sokoine ya uadilifu wa hali ya juu sana na kutotaka kujilimbikizia Mali Kwa njia ya ufisadi??
Nafikiri anawaza kuua ni mpaka wewe mwenyewe ufanye kosa hilo! anasahau kuwa kuunga mkono wauaji ni uuaji.Tena unaumiza sana tena sana tuuu...........
Hivi wewe kama ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote, utawezaje kujiepusha na hiyo kashfa, wakati hutaki kuunda Tume Huru ya kuchunguza kifo Cha Medy Kibao, Wala hutaki kuviagiza vyombo vyake vya ulinzi na usalama, viwarejeshe wakiwa hai au wamekufa, kina Soka na wenzie??
Vile vile hutaki kuwawajibisha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni na mwezie IGP Camilius Wambura??
Yeye mwenyewe kuiga ya Nyerere hawezi!Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu mkubwa na hakupenda kabisa ufisadi na yeye mwenyewe alikuwa ni mfano Kwa kutojilimbikizia Mali ya aina yoyote Ile.
Hebu viongozi wa sasa mnatakiwa myaishi maisha ya Hayati Sokoine wa kutotamani maisha ya starehe na kutojilimbizia Mali ya aina yoyote Kwa ufisadi.
Hebu tujiulize ni viongozi wangapi wa hivi sasa wanayaishi maisha ya Marehemu Sokoine ya uadilifu wa hali ya juu sana na kutotaka kujilimbikizia Mali Kwa njia ya ufisadi??
Tuanze na yeye aliesema wale kwa urefu kwa kamba zao.Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu mkubwa na hakupenda kabisa ufisadi na yeye mwenyewe alikuwa ni mfano Kwa kutojilimbikizia Mali ya aina yoyote Ile.
Hebu viongozi wa sasa mnatakiwa myaishi maisha ya Hayati Sokoine wa kutotamani maisha ya starehe na kutojilimbizia Mali ya aina yoyote Kwa ufisadi.
Hebu tujiulize ni viongozi wangapi wa hivi sasa wanayaishi maisha ya Marehemu Sokoine ya uadilifu wa hali ya juu sana na kutotaka kujilimbikizia Mali Kwa njia ya ufisadi??
Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu mkubwa na hakupenda kabisa ufisadi na yeye mwenyewe alikuwa ni mfano Kwa kutojilimbikizia Mali ya aina yoyote Ile.