Kutokana na kauli ya Rais Samia, kuwataka viongozi waige mfano wa uongozi wa Sokoine. Swali la kujiuliza ni viongozi wangapi wa sasa ni waadilifu?

Nchi hii inaangamia tunaiona.........

Watu "wanajisombea" mabilioni huko maofisini, Kwa ruhsa aliyotoa Boss wao ya Kula Kwa urefu wa kamba zao😭
Kinachouma zaidi ni shilingi inavyoporomoka siku hadi siku
Hebu fikiria unatuma hela home £1 unabadilishiwa kwa Sh 3600?
Haijawahi kutokea
Halafu majizi kwa kuwa ni hela chafu wanaziingiza kwenye biashara za watu kutakatisha
 
Tuanze na huyo huyo alietoa hiyo kauli, je na yeye anaiga mfano wa Sokoine?
Anaiga wap ? Sokoine alkua mtu mwadilifu haijawai tokea ,,Maza tuu uongoz kagawa Kwa shosti zake na familia ,,mkwe naye ni wazir ,mtot ni mbunge na mwana naye anapewa deal kubwa kubwa za kufanya biashara nje na ndan
 
Huyo mwamba mmempa bia alafu malipo yake sasa mnamchom humid mtandaoni.Hapo mmeshamuuza kesho na keshokutwa akidakwa na Wasiojulikana mtaanza kushangaa.
Hayo maoni yake tuu ndo anastahili adhabu ya kifo Cha kupotezwa na hata pengine ndugu washndwe kuzka ndugu Yao Kwa heshima? Kwa kua ww unaonyesha ni mzoefu hao mliowapoteza miili Yao mlizika ? Au mliwapa wanyama wa mwituni wale binadamu wenzenu?
 
Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu mkubwa na hakupenda kabisa ufisadi na yeye mwenyewe alikuwa ni mfano Kwa kutojilimbikizia Mali ya aina yoyote Ile.

Hebu viongozi wa sasa mnatakiwa myaishi maisha ya Hayati Sokoine wa kutotamani maisha ya starehe na kutojilimbizia Mali ya aina yoyote Kwa ufisadi.

Hebu tujiulize ni viongozi wangapi wa hivi sasa wanayaishi maisha ya Marehemu Sokoine ya uadilifu wa hali ya juu sana na kutotaka kujilimbikizia Mali Kwa njia ya ufisadi??
Kwanza Mimi binafsi sihitaji kusoma Wala kujifunza ainaa ya Uongozi wake Kwa vile siukubali ujamaa.
 
Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu mkubwa na hakupenda kabisa ufisadi na yeye mwenyewe alikuwa ni mfano Kwa kutojilimbikizia Mali ya aina yoyote Ile.

Hebu viongozi wa sasa mnatakiwa myaishi maisha ya Hayati Sokoine wa kutotamani maisha ya starehe na kutojilimbizia Mali ya aina yoyote Kwa ufisadi.

Hebu tujiulize ni viongozi wangapi wa hivi sasa wanayaishi maisha ya Marehemu Sokoine ya uadilifu wa hali ya juu sana na kutotaka kujilimbikizia Mali Kwa njia ya ufisadi??
Huyo mama Abdul si muadilifu hata kidogo, anamiliki mali zenye thamani ya zaidi ya shs 50 bilioni na hawezi kueleza zilivyo patikana!
 
Tena unaumiza sana tena sana tuuu...........

Hivi wewe kama ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote, utawezaje kujiepusha na hiyo kashfa, wakati hutaki kuunda Tume Huru ya kuchunguza kifo Cha Medy Kibao, Wala hutaki kuviagiza vyombo vyake vya ulinzi na usalama, viwarejeshe wakiwa hai au wamekufa, kina Soka na wenzie??

Vile vile hutaki kuwawajibisha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni na mwezie IGP Camilius Wambura??
Nafikiri anawaza kuua ni mpaka wewe mwenyewe ufanye kosa hilo! anasahau kuwa kuunga mkono wauaji ni uuaji.
 
Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu mkubwa na hakupenda kabisa ufisadi na yeye mwenyewe alikuwa ni mfano Kwa kutojilimbikizia Mali ya aina yoyote Ile.

Hebu viongozi wa sasa mnatakiwa myaishi maisha ya Hayati Sokoine wa kutotamani maisha ya starehe na kutojilimbizia Mali ya aina yoyote Kwa ufisadi.

Hebu tujiulize ni viongozi wangapi wa hivi sasa wanayaishi maisha ya Marehemu Sokoine ya uadilifu wa hali ya juu sana na kutotaka kujilimbikizia Mali Kwa njia ya ufisadi??
Yeye mwenyewe kuiga ya Nyerere hawezi!
 
Tuanze na yeye aliesema wale kwa urefu kwa kamba zao.
 
SOKOINE asingewaondoa Wamasai wenzake Ngorongoro.

SOKOINE asingeuza Badari zetu kwa Warabu.

SOKOINE asingesema kama kufa watu wanakufa tu.

Hivyo, yeye mwenyewe badala ya kuwashauri wenzake aanze yeye binafsi kuiga mfano wa Hayati Edward SOKIOINE.
 
Propaganda za mahangaiko ya watawala. Wanadaka kila unyasi.

Hakuna anayetaka hata kusikia mambo ya awamu ya kwanza yakirejea. Si ya Nyerere wala ya Sokoine wake. LAKINI wanajua kuna wimbi kubwa la Watanzania “hamnazo” hao watu ni kama “mitume na manabii” kwao. Hivyo maigizo ya “kuwaenzi” ni kete muhimu sana ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom