Amba Samedi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2024
- 207
- 346
Wakenya wanazungumza Dictionary language: DIctionary English (ndo maana kufit kwenye mazingira ya kimataifa hawashindwi) na dictionary swahili (je wajua, maprofesa wengi wa Kiswahili marekani ni Wakenya na sio Watanzania)Mazoezi nje ya daasani unamanisaha nini?
Nani kawakataza kuzungumza nje ya darasani? hata kiswahili chenyewe wa Kenye kwenye international media wame-dominant kwasabb sifa moja ni kujua lugha mbili kiswahili na kiingereza ki-fasaha, watanzania hatuwezi tunajua tu kiswahili cha kuongea kuandika shida, kazi zetu nikutowa visababu vya kijinga kama vyakwako, mtanzania ni mtazania siku zote akili zake ndo hizohizo sijui Nyerere alituroga au?
Sawa ni kweli na Watanzania wapo wengi hata South Africa nilikutana nao, kuna ma lecturer ma dakitari nk, ila pia kuna wauza ganda highway roberry wana Muziki nk, ila ukweli ni kwamba pamoja na mafanikio ya baadhi yao, mimi personal experience na observation, hamna watu wa hovyo wajinga waoga Mario's, wa wongo, diaspora na nyumbani kama wa Congo man na wa Tanzanian. Hao watu huwezi kufanaya nao mpango wa maendeleo endelevu IQ yao ndogo waminifu zero.Naheshimu mawazo Yako ila ukikaa Cape town ,Paris ,na hata hapo Nairobi utajua mkongomani anafukuza mwizi kimya kimya hao wanatumia talent zao kupiga life hizo ulizozitaja ni life skills za muhimu sana lakini ukienda Belgium jamaa ni malecture wamiliki wa maduka ma accountants n.k nasema nilichoona mkongo ni survivers
Hizi ndo aina ya visababu vya wa Tanzania havina mashiko, we angalia Air Tanzania na Air Kenya uone ipi ina soko nyumbani kwao manaake inao safirisha watu wake nje....air tanzania mwaka hu imefanya hasara ya 65bn shilling.Kiswahili wame-dominate wapi?
Wakenya ni matapeli, na dunia kwasasa imeanza kushtuka.
Wakati dunia inashtuka , nyie ndio mnakuwa mazuzu zaidi.
Wewe ndio mpumbavu na hujielewi.Hizi ndo aina ya visababu vya wa Tanzania havina mashiko,
AirTanzania ina matatizo yake na sio Kiingereza.we angalia Air Tanzania na Air Kenya
Kenya Airways inatumia utapeli kupata watalii huko nje.uone ipi ina soko nyumbani kwao manaake inao safirisha watu wake nje....air tanzania mwaka hu imefanya hasara ya 65bn shilling.
uko sahihi kwa sehemuSawa ni kweli na Watanzania wapo wengi hata South Africa nilikutana nao, kuna ma lecturer ma dakitari nk, ila pia kuna wauza ganda highway roberry wana Muziki nk, ila ukweli ni kwamba pamoja na mafanikio ya baadhi yao, mimi personal experience na observation, hamna watu wa hovyo wajinga waoga Mario's, wa wongo, diaspora na nyumbani kama wa Congo man na wa Tanzanian. Hao watu huwezi kufanaya nao mpango wa maendeleo endelevu IQ yao ndogo waminifu zero.
Huyu manzi ni ninja aiseee 😂😂Umesema kweli ila ni makosa makubwa kujilinganisha na wakenya , level zetu sisi ni Uganda.
View attachment 3384079
😁😁Ndio
ni kweli kabisa. hata wale wa apa wanaosoma hawapractice shida inaanzia apoWazo zuri. Mi ni mtanzania niliyesomea kenya maisha yote. Nakuambia hivi: Tatizo ni practice. Nje ya darasa, Mtanzania hana mazoezi ya kiingereza. Na anaanza kushindwa hapoo. There's nothing wakenya wanayo ambayo sisi hatuna. Nimekutana na watanzania wachache ambao walijengewa tabia ya kusoma vitabu na kujiamini na kuzungumza mapema. Moto wa kuotea mbali. Tanzania tunaweza. Tujenge mazoezi, basi.
Jichanganye, wachina english ni mandatory elimu yao, huwez tengeneza products na kufanya biashara na mataifa mengine halaf hujui englishKiingereza ni lugha kama.lugha nyingine.
Wachina na wazunvu wanajifunza Kiswahili, subiri waje kufundisha Kiswahili mitoto yao mibolizozo.
Maana hamjitambui
“Kenya airways inatumia utapeli” nimeishia hapa baada ya kuona hujaeleza deep with facts how, how comes wao ndio leading airways east africa?Wewe ndio mpumbavu na hujielewi.
AirTanzania ina matatizo yake na sio Kiingereza.
AirTanzania ina ndege zake, Kenya aorways inatumia ndege za kukodi
Kenya Airways inatumia utapeli kupata watalii huko nje.
Ndio maana tukiwapiga ban kuja nchini huwa wanahaha.
Watz wengi ni wajinga, tungekuwa smart siku nyiiiingi tungeshaizika ccm na kuisahau kabisa!.licha ya kutojua kiingereZa Pia Akili zetu watanzania ni ndogo sana tuna average IQ, mbongo na Mkongo man elewa zao haziachani sanaa, wale wanawaza muziki sisi tunawaza mpira na bongo freva.
They are leading because they are publicly owned, listed on NSE.“Kenya airways inatumia utapeli” nimeishia hapa baada ya kuona hujaeleza deep with facts how, how comes wao ndio leading airways east africa?
uwa zamani.Watu Wanashuka ngeli.Nilifanya intervew International nikajua wabongo wameiva hatariTwende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.
Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika makubwa ya kimataifa
Huu ndio ukweli
Hapo mkuu utapeli wao uko wapi? Unajua kinacho itwa marketing strategy mkuu? Ndo maana ya kutumia ngorongoro na kilimanjaro wewe unafikiri watalii ni ignorant kiasi cha kutojua kwamba mountain Kilimanjaro iko Tanzania.They are leading because they are publicly owned, listed on NSE.
Ndege zao zimeandikwa Ngorongoro, Kilimanjro, Serengeti kwasababu they keep deceiving tourists globally, watawaleta.
Air Tanzania is government owned that still needs a push to succed.
Kama hueleweli suala dogo kama hilo, basi hicho kichwa ni boga.
Air Tanzania inahitaji kupunguza siasa za ulaji za CCM tu, na kupush maana wana miundombinu ipo, tofauti na Kenya Airways wenye ndege za kukodi.
Wao kufanya biashara kwa kutumia majina ya vivution ,kama hiyo ndia cause basi unajua kidogo mno?They are leading because they are publicly owned, listed on NSE.
Ndege zao zimeandikwa Ngorongoro, Kilimanjro, Serengeti kwasababu they keep deceiving tourists globally, watawaleta.
Air Tanzania is government owned that still needs a push to succed.
Kama hueleweli suala dogo kama hilo, basi hicho kichwa ni boga.
Air Tanzania inahitaji kupunguza siasa za ulaji za CCM tu, na kupush maana wana miundombinu ipo, tofauti na Kenya Airways wenye ndege za kukodi.
Ila waulize umbea udaku simba na yangaKutokujua kuongea kiingereza ni aina mpya ya ulemavu. Wabongo wengi hawawezi kujieleza kwa kiingereza kwa zaidi ya dakika tatu bila kuchapia au kupatwa kigugumizi.