M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Yuko specifically kwenye topic ya ajira(kuajiriwa nje ya nchi au kwenye mashirika ya Kimataifa), mazingira ambayo umahiri katika kuongea lugha ya Kiingereza ni plus ili ukubalike.Sema huna hela ushindwe kufanya biashara na mzungu kisa lugha? Wenzetu wapo silias hawawezi kushindwa kuwasiliana na wewe kama kweli una hela tafuta hela
Viongozi watunga sera in case you don’t know wanafurahia hili tabaka, watoto wao wanawasomesha nje ya nchi au shule kama IST kwa gharama kubwa wakiwa na maana, wametembea na kilema cha kutokuwa vizuri katika Kiingereza hasa cha kuongea kinavyowaangusha Watanzania na kuwakosesha fursa nyingi kimataifa.Lkn wachina wapo kwenye soko la Dunia? Wakuu sasa hivi ni MI 5 TENAAAAAAAAAAAAAAAAA KWA KISHINDO KIKUBWAAAAA hayo mavingereza tuwaachie mabeberu, tujenge nyumbani kwanza!
Mtanzania si ndio huyo anayehesabu watu 10?... ukienda mji mkuu wa uingereza ukikutana na watu 10 wa ngozi nyeusi, ... mtanzania huenda usimuone kabisa.
Unaona akili zako Sasa ?Hakuna ajira unayokosa sababu ya Lugha, nchi nyingi hata Kiingereza wanaojua ni wachache,,, ajira za kimataifa ni jambo la mtu binafsi siyo sera wala shida ya Taifa zima,,, anayetaka kwenda nje ajisomeshe lugha anayotaka kuijua.
Kama kigezo ni kiingereza basi nipeni KAZI.Yaani ukitaka umtoe mtzania nje ya reli basi mwambie aende mbele aongee ung'eng'e
Hiyo ni shida yako wewe binafsi unayetaka kwenda huko BRITAIN ndo ujifunze kiingereza...Unaona akili zako Sasa ?
Huwezi kupata chuo nje bila kuwa na English Language Proficiency certificate kutoka TOEFL au British Council.
Siku Moja hudhuria hii paper ndio utajua watanzania tunajua au hatujui kiingereza
Kuhusu ajira ni lazima uwe umebobea kwenye kazi unayo taka kufanya hilo ni sahihi, lakini kwa maisha ya sasa ni vizuri kujichanganya bila kujali umesomea nini mfano mzuri ni jamaa mmoja anaitwa Chris lukos ukifuatilia historia yake utagundua lugha sio ishu sana japo ina umuhimu wakeYuko specifically kwenye topic ya ajira(kuajiriwa nje ya nchi au kwenye mashirika ya Kimataifa), mazingira ambayo umahiri katika kuongea lugha ya Kiingereza ni plus ili ukubalike.
Kama unaishi au umewahi kuishi nje ya nchi obviously hili unalifahamu fika.
Sifahamu unaishi nchi gani lakini from my own experience Wabongo wanakosa sana michongo ya kazi(I'm talking about white-collar jobs) kwa sababu ya uwezo mdogo wa kujieleza kiufasaha kwa Kiingereza, pale Mbongo akiwekwa mbele ya jopo akachapwa maswali dabodabo kutoka kona zote huwa ni full kujitafuna si kwa sababu hafahamu professionally maelezo yanayopaswa kujibiwa bali ni uwezo mdogo wa kujieleza kiufasaha kwa Kimombo.Kuhusu ajira ni lazima uwe umebobea kwenye kazi unayo taka kufanya hilo ni sahihi, lakini kwa maisha ya sasa ni vizuri kujichanganya bila kujali umesomea nini mfano mzuri ni jamaa mmoja anaitwa Chris lukos ukifuatilia historia yake utagundua lugha sio ishu sana japo ina umuhimu wake
Acha tuendelee kubishana diamond anaenda kumwoa nani na ngonjera za dabi ya kariakoo ilikuwajeSifahamu unaishi nchi gani lakini from my own experience Wabongo wanakosa sana michongo ya kazi(I'm talking about white-collar jobs) kwa sababu ya uwezo mdogo wa kujieleza kiufasaha kwa Kiingereza, pale Mbongo akiwekwa mbele ya jopo akachapwa maswali dabodabo kutoka kona zote huwa ni full kujitafuna si kwa sababu hafahamu professionally maelezo yanayopaswa kujibiwa bali ni uwezo mdogo wa kujieleza kiufasaha kwa Kimombo.
✅️✅️✅️Hiki kiswahili ukivuka tu mpaka ni takataka
Inasemwa eti Kiswahili ilikuwa ni ili tuwe na umoja !Huu ni UKWELI UKWELI mtupu...mbaya zaidi huyo aliyetaka hiki Kizaramo kitamalaki, yeye alikuwa anaking'uta haswa hicho Kidhungu..dah