Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

Umeandika nondo sana mkuu
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana hiyo KM Ikulu ndio mshauri wa karibu zaidi wa Rais kuliko KMK na DG wa Usalama. Hivyo ana nguvu kwa maana ya mshauri wa karibu zaidi wa Rais.
Hapana. KMK ndio mwenye access na rais vibaya mno na ndio maana pale ndani anaitwa Katibu wa rais
 
Wanamakusidi yao kwa sasa wanampima presha na mapokeo ya walichofanya. Hio ni Mipango ubalozi ataenda tu, na kama alishahudumu ubalozi hapo kabla basi kawaambia live kuwa ubalozi hawezi kurudi tena.
Kama makungu tu alivyogoma kwenda ubalozini, kule njaa imetawala
 
Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu?

Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa?

Natanguliza shukrani.
Kimsingi cheo cha katibu mkuu ni kikubwa kwani ndio the most senior possition kwenye utumishi wa uma, ila kiuhalisia DGIS is a very powerful possition in this country! Maana ni Taasisi kubwa na nyeti.so morelesly anaonekana kapanda ila hatakuwa na majukumu makubwa ya jumla ka alivyokuwa DGIS
 
Chief Secretary ndo Katibu Mkuu Kiongozi
 
Kwa nini asilipwe wa Katibu Mkuu Ikulu hata kama ni mdogo au mkubwa kuliko wa TISS?
Kuna kitu kinaitwa MSHAHARA BINAFSI ukihamishiwa Taasisi ambayo ina mshahara mdogo kuliko unapotoka, utaendelea kulipwa mshahara wa awali.

Mahahara huwa haushuki mkuu
 
Kupata jibu sahihi humu hadi update mtu mwenye itikadi thabiti ya chama sio hawa chawa.
 
Hii pangua ya watu wa ikulu na usalama wa taifa anaifanya Rais na nani
 
Diwani Athman ameshuka sana. Katibu Mkuu Ikulu ana supervise watumishi wa Ikulu tu. Lakini siyo watumishi wa Ofisi Binafsi ya Rais (OBR). Majukumu yake ni madogo kuliko hata Makatibu Wakuu wa Mawizara hususan kasma
Sorry kwa uelewa zaidi;
Je Katibu mkuu Ikulu ha deal na PSU ambayo Usalama wamo ndani?
Nafahamu kuna taasisi zipo chini ya Ofisi ya Rais Ikulu, CEOs wao wanareport kwa katibu mkuu Ikulu, mfano TASAF, TAKUKURU nadhani na PSU wenyewe etc......
 
Be serious ndugu!

Yaani awe mkubwa kuliko Mkuu wa watumishi wote serikalini na yeye diwani wa Kata akiwa ni mtumishi wa umma????
 
Shida ni cheo!?..tunatumikia nchi,hatujali vyeo
Ndio shida kuu tuliyonayo kama Taifa watu wengi wanafikiria maslahi na kipato sio kuitumikia Nchi ! Na hiyo ndio sababu kila mtu anafikiria akipata kazi akapige dili za maana ili akirudi uraiani asichekwe !! Bado tupo mbali sana !!
 
Kwanza Alitakiwa kuondolewa kwenye hiyo Nafasi Muda mrefu sana Sio hata jana...Hatujui mambo mengi ya usalama wa nchi yakitokea mazonge
 
Mwendazake DG wa TISS alijifanya yeye,Jaji mkuu ni yeye,spika wa bunge ni yeye,CAG ni yeye yaani alikuwa a vurugu sana huyu bwana..Mungu amlaze mahali pema peponi

kwa sasa kila kitengo kimeachiwa watu wake,nchi inapaa kiuchumi maendeleo na raha wananchi mnapata[emoji23][emoji23][emoji23].

kumtoa mtu kama athumani halafu mtu anafurahia,huwa naogopa hata aina ya akili ya mtu huyo.nyie hii nchi inakoelekea tutakuja kuona mbeleni huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…