Kuuliza si Ujinga; Maharage Chande anafanya biashara gani na TTCL? Kwanini Biashara hiyo inafichwa?

Si wanasema Wwchaga ni wabaguzi , mimi Mnyakyusa nitakumbukwa kweli ?
Wanaosema hivyo ndio wao wabaguzi wenyewe.....

Kabila haliwezi kuwa la KIBAGUZI kwa kuwa kuna wachache ni wabaguzi [emoji1787][emoji1787]

Back to the point....

Siku hiyo ya kamarada Mbowe kuichukua nchi ndiyo itakuwa mwanzo wa "utrilionea" wako.....najua wewe mpambanaji haswa [emoji1787][emoji1787]
 
Biashara haramu ndio hufichwa halali huwekwa wazi kama huyo bwana hisa wa TTCL ndugu mandondo.
 
Huenda ni ya ufyatuaji laini za ttc;l ndio maana yuko pale kwa biashara binafsi kwa mpango maalum kuhakikisha TTCL inakufa na makampuni yanayoendeshwa na watu binafsi yashamiri.

Walimchukia sana JPM alipotaka watumishi wa umma na serikali kuhakikisha kila mmoja anatumia laini za TTCL ili ijipatie kipato hatimaye iweze kutoa gawio.

Mashirika yote ya umma mafisadi yamepandikiza mawakala wa uharibifu ili sekta binafsi wapate mwanya wa kupigiwa chapua kuchukua nafasi hiyo

AIBU sana watawala hawa wa joka la kijani
 
hivi watanzania wangapi wanafanya buashara na serikali,wewe umemuona maharage tu?unafhani biashara za watu zinatajwatajwa tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Majina kufichwa ya onwers wa biashara au aina ya biashara kufichwa ni ufisadi kama ufisadi mwingine, sababu wezi au mafisadi hawataki biashara zao au majina yao yajulikane kwa public, ukiona kuna giza giza kwenye maswala ya biashara au majina ya owners wa biashara ni wizi unaendelea
 
Nyoosha maelezo sio ya yule mzee hii Simba imesajiriwa Australia
 
Ndugu Paschal, tutajie mafia wawili tu unaowajua Ili tuwaogope!!
 
Not necessarily, kuna wengine wana good clean businesses lakini wanapenda kuwa low profile hivyo wanatumia pseudo names sio ili kujificha bali ili ku avoid unnecessary attention, mfano mzuri ni bilionea mmoja wa Geita, yule Mzee wa Blue Cost, anapanda bajaj!, gari yake ni Toyota Sienta ya yellow!, Mzee Mengi na Bakhresa, watasubiri!. Ndie mlipaji kodi Mkuu no. 1 Geita, ukiondoa migodi ya Anglo Gold Ashanti na GGM!.
Hana makuu!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…