Kuuliza si Ujinga; Maharage Chande anafanya biashara gani na TTCL? Kwanini Biashara hiyo inafichwa?

Kwa viongozi wa umma ni tofauti, usikariri tu.
 
Sahihi
 
Kwa viongozi wa umma ni tofauti, usikariri tu.
Yes ni kweli kwa viongozi wa umma, sehemu ya their right to privacy is compromised by the public in such a way, anyone paid by taxpayers money, the public has the right over their public as well as private affairs. Hii ni wenzetu walioendelea sisi huku bado!.

Ndio maana tamko la mali za viongozi ni siri!.
P
 
Paschal , don't sell us fear, men. Kama Kuna mtu anaweza kufuatilia afuatiliye tu. Kupotezwa ni kawaida kwa sababu we will all die. Hata hivyo , kufia ukweli ni the highest good of individuality.

Au nasema uongo ndugu mayala?
Mkuu El Roi , it's true mtu kufia kwenye kutafuta ukweli ni the highest honor ila it depends ukweli huo ni ukweli for what, ukweli mtu anaotakiwa kuufia ni ukweli wenye maslahi kwa taifa, kama alivyofanya Ben Saanane na sio ukweli wa kufuatilia maisha binafsi ya watu na mali zao legally acquired!.
P
 
Ndio maana hizi taasisi zinataka zisiingiliwe kwenye utendaji ili kuficha madudu kama haya. Kama wameweza kumpa tender watashindwa nini kuajiri watoto wa vigogo wenzao
 
Paschal , Issue ya kujua biashara za chande ndani ya shirika letu la umma ndo hoja iliyoleta yote haya.

Hivyo, kutaka kujua chande anafanya biashara gani na shirika letu la umma, tayari hiyo ni national interest.

Anafanyeje biashara na shirika la umma ilihali yeye ni mtumishi wa umma??

Kwani huoni nafasi yake ya utumishi wa umma ikigongana dhahiri na maslahi yetu kama umma kwa yeye kufanya biashara na shirika letu?
 

Safi
 
Msome Jill Dando alikuwa journalist ila kiherehere chake kilimponza alipigwa risasi akiwa kasimama kwake na mpaka leo miaka 24 hajapatikana aliempiga risasi

Mengine ni kuyaacha tu
 
Msome Jill Dando alikuwa journalist ila kiherehere chake kilimponza alipigwa risasi akiwa kasimama kwake na mpaka leo miaka 24 hajapatikana aliempiga risasi

Mengine ni kuyaacha tu
All of us are going to die only once !
And when we’re done we will not be in need of money πŸ’° anymore forever πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™πŸ’°πŸ’°πŸ˜‚
 
The Right to Privacy nayo ni Sheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…