Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

Dunia inapitia wakati mgumu sana hasa kutokana na kuwa na viongozi wenyetamaa ya madaraka kupoitiliza kiasi kuwa wako tayari kufanya lolote kuonyesha madaraka yao (mtafute Prigozyn). Putin anataka Marekani iweke nguvu zaidi huko Israel ili yeye ajimegee Ukraine; hivyo kwa kusihirikiana na Iran wakaanzisha vita nyingine huko Israel ikiwa ni baada ya kutanganzaia nchi yake kujiandaa na vita ya nyuklia. Tabui sana dunia yetu hii ya leo. Miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 200 dunia ilikuwa mahali pazuri sana kusihi lakini leo watu tunaanza kufikiria kuhamia Mars.
 
Hapo ni mwanzo tu, ila waarabu wataungana na kumchapa Israeli, Hali yake itafanana na hali ya Ukraine.

Wslishawai kuungana waarabu walichezea kichapo heavy hawatamani tena na kipindi icho ndio israel walikuwa wamerudi kwao yani walikuwa kama ndio wanaanza maisha jiulize Israel ya sasa ikoje
 
Waisrael wa kweli wako wapi? Yaani wako nchi gani?
 
Hizi Story za Mchamba wima
Kaa nazo
 
Hizi Story za Mchamba wima
Kaa nazo
Sifa moja ya mpumbavu ni kukosa uwezo wa kuchanganua mambo. Unavamia festival ya vijana kuwaua na kuwateka nyara bila sababu. Sijui na wewe utafurahia Wasafi Festival ikifanyiwa mambo kama hayo hapa nyumbani.
 
Wslishawai kuungana waarabu walichezea kichapo heavy hawatamani tena na kipindi icho ndio israel walikuwa wamerudi kwao yani walikuwa kama ndio wanaanza maisha jiulize Israel ya sasa ikoje
Ila zamu hii Israeli anaenda kula mkongoto, subiri waarabu waungane.
 
Mathayo 24:32 SRUV. Basi kwa mtini jifunzeni mfano; tawi lake likiisha kuchipuka na kuchanua majani, mnatambua ya kuwa wakati wa mavuno upo karibu.
 
Tayari marekani ishapeleka nyambizi iko full mzigo
 
Hakuna Israel iliyovamiwa.

Wapalestina wandai haki yao wya kufungiwa Gaza na wanadai ardhi unayoiita israel inayoshikiliwa kwa mabavu na ashkenazi.
 
Asili ya Israel inafafanuliwa na nadharia kadhaa sasa mathalani nadharia hizi mbili zinaonesha kuandikwa na waandishi wengi wa historia.
1. Uru wa Wakaldayo ambayo ni Iraq kwa sasa.
2. Ni Palestina- hii inaonesha ni Wapalestina walewale waliogawanyika.
 
Nani kaandika hii?
 
Hao ni Walowezi tu kutoka Ulaya na Marekani. Hawajawahi kuwa uzao wa kwanza wa Mungu.
 
Upuuzi
 
Hapo ujue kuna kitu wamekosea, na wasipoangalia hao hao wazaliwa wa kwanza wa Mungu watatandikwa wafutike kwenye uso wa Dunia.
Unaijua implication ya Israel kufutika kwenye uso wa dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…