Mzaliwa wa Mungu kwa mujibu wa nani?
Mzaliwa wa kwanza kwa Mujibu wa Biblia ni mwana wa Mungu wa kwanza ambaye ni kristo na kuna mzaliwa wa pili the same way wa tatu na kuendelea.
Mzaliwa wa kwanza wa watu/wanadamu ni yule kidini tunamuita Adamu ilihali hakuitwa haya majina haramu ya wazungu/waarabu na mzaliwa wa pili kwa wanadamu na kuendelea ni jinsi ngazi ya uzao toka kwa mtu wa kwanza mpaka wa mwisho kuja kuzaliwa inavyokwenda.
Kiufupi Muumba wa kweli hana mzaliwa pekee wala mzaliwa mmoja bali viumbe wote wa kiroho na kimwili ni wazaliwa wake yaani wana wa kwake.
Malaika ni wana wa Mungu, maserafi, makerubi mpaka wanadamu ni wana wa Mungu.
Huo mfumo wa kusema taifa fulan ni wana wa Mungu sijui au yesu ndie mwana pekee wa Mungu huo ni ushetani walioutunga wazungu wa kirumi waliobadiri maandiko kwa maslahi yao na ndio hawa hawa walishirikiana kuunda taifa la mchongo hapo middle east ili kutawala jamii za waarabu kisiasa na kiuchumi bila kusahau kiimani, kupitia uongo wallioutunga kwa kuwaaminisha watu.
Israel ya sasa sio lile taifa la Biblia maana hawa wamejiunda wao kwa maslahi yao wala hawana historia yoyote , ya kuishi hapo kwakuwa hata kihistoria Israel ya kweli haikuwepo eneo hilo la waarabu
Migogoro haitokwisha kati ya hao wazungu wanaojiita waisrael na hao waarabu, maana historia ilishawakataa hao jamaa kuwa wao si wa eneo hilo na wala wao si waisrael wa kweli, hivyo watabaki kuua raia bure kwa kuforce kukalia ardhi kimabavu na kulazimisha historia isiyo yao.