Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi

Mbona una mzinga wa nzi huko au ulikurupuka from long call office widhauti tawazesheni.
 
We mwanamke nenda lebar mda wako umefika
 
Hiyo video wanaipika hadi itumie mwezi mzima ndio waitoe? Au hii ni ahadi sawa na ile ya video ya mabomu ya Arusha? Mnyika usikubali kufanya kazi chafu za kusafisha ujinga na ulevi wa Mbowe.
Tuliza kidonda wewe chief wa wasukuma afanye yake.
 
Kudadadeeeki hata kuandika jina tu la chief wa wasukuma unashindwa
 
Rudi kwenu Ngara wewe unazeekea hapo lumumba
Tunaomba muweke hadharani na ile video ya mabomu ya Arusha!

Yani chadema walivyo wakuda wawe na video wakae kimya tuuu hiyo haiwezi tokea kamwe!
 
Matokeo ya kufukuzwa shule kwa mama Patriot ili alishe familia na mtoto Patriot ndio haya kweli!??
 
Unajua nini boss? Naelewa unapomsifu Mnyika wa miaka ile. Kumbuka ulikuwa chuo umemaliza form 6, naye akiwa amemaliza form 6 hivyo, mawazo yenu yalikuwa pamoja. Sasa hivi una digrii, yeye bado hana anatumia elimu ya form 6. Lazima umuone ni hovyo tu! Ameongezeka umri uwezo wa kufikiri ukiwa pale pale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…