Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #141
unakumbuka sinema hii ya sirro wakati wa sakata la MO , ulimuamini ?yaani.maisha haya,.mnyika anamcheka siro eti anatumwa, sas sijue yeye anajituma au antumwa na mbowe mtu alilewa ,yeye anakazana kurefusha kamdomo kake kumshutumu siro utadhani siro.ndiye aliyempa mbowe konyagi. amuchie mbowe aseme baada ya kupiga konyagi aliona nini? wengine huwa wanaona ndugu zao waliotangulia