Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi

Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi

yaani.maisha haya,.mnyika anamcheka siro eti anatumwa, sas sijue yeye anajituma au antumwa na mbowe mtu alilewa ,yeye anakazana kurefusha kamdomo kake kumshutumu siro utadhani siro.ndiye aliyempa mbowe konyagi. amuchie mbowe aseme baada ya kupiga konyagi aliona nini? wengine huwa wanaona ndugu zao waliotangulia
unakumbuka sinema hii ya sirro wakati wa sakata la MO , ulimuamini ?

1880390_Dp2wwLmWkAAUZ-1.jpg_large.jpg
 
Mngejua mnavyozidi kuropoka ndiyo mnazidi kuwaharibia mnaodhani mnawajenga, huko waliko wanatamani kuyarudisha midomoni mwao haya mauzushi yao.
Nafikiri upellelezi wa mtu aliyelewa ni rahisi kuliko kumjua aliyempa pombe. Kumjua mshambuliaji ndo ngumu kabusa.
 

Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika leo ametoa kauli kali ambayo ndio kauli halali ya Chama chake kuhusiana na Propaganda za kishamba zinazosambazwa na Jeshi la Polisi zikiongozwa na IGP Sirro mwenyewe kuhusiana na shambulizi alilofanyiwa Mh Mbowe na Watu waliotumwa kumdhuru..
Inaaminika we anyika ni makini kuliko wenzako wengi. Usikubali kujiingiza kwenye utetezi wa kipuuzi na uongo. Yaani unaamini alishambuliwa na watu wakamkanyaga kanyaga na kumvunja mguu halafu baadaye aje dereva wake ambaye labda alishuhudia hayo au labda alishaondoka washauriane wasaidiwe na nani ndio waamue kumpigia simu dada/mama fulani ndio aje?

Mbona ile nyumba kulikuwa na watu? Halafu baada ya huyo dada/mama kuja wanaamua kwenda kwa nyumba ndogo kwa ushauri zaidi ndio wanaafikiana kwenda kwa nyumba ndogo ya Mbowe ambaye wamezaa naye na hapo uamuzi ni kwenda kituo cha afya private na wala sio hospitali ya private wala ya serikali?

Kwa nini Mnyika unajivunjia heshima yako? Halafu daktari aliyempokea anakiri kuwa alipofikishwa alikuwa anashindwa kujieleza kutokana na kinywaji alichotumia? Hata polisi aliyekwenda kumwona anakiri Mbowe alikuwa amelewa. Ukweli haujifichi kamwe na kwenye ukweli uongo hujitenga. Ni aibu kubwa kwa watu wanaotaka waheshimiwe kutokana na nafasi walizo nazo katika jamii
 
Kisheria ukitaka kumtuhumu mtu kwa ulevi wa pombe, ni lazima upime asilimia ya kilevi (alcohol %). Haiwezekani watu wanaotunga na kusimamia utekelezaji wa she ria za Inchi kudai kuwa mtu alikuwa amelewa chakari. Hii chakari ni % ngapi? Unaweza kusema mtu kalewa chakari kumbe blood pressure iko juu.

Mwenye mamlaka ya kusema kuwa mgonjwa kalewa na anampa matibabu ya kupunguza kilevi ni Dr. Hii lugha ya kusema mtu kalewa chakari inaweza kusemwa kwenye majukwaa ya Siasa kama propaganda ya kumchafua mpinzani wako lakini si kusemwaa na mtunga sh eria na mlinzi wa amani.
 
Kwanini hili suala asije Mbowe mwenyewe aeleze kilichotokea?

Kwanini kina Mnyika ndio wapo mstari wa mbele kumtetea Mbowe badala ya yeye mwenyewe kuja kueleza umma?

Chadema acheni uhuni
Kama unao ushahidi nenda kawasaidie Polisi ili waache kubwabwaja.
Juhudi zao za kuokoteza na kulazimisha porojo za Ndugai na mamluki wao Lijualikai na Silinde zinazidi kupwaya, sasa wanaanza vitisho.
CHADEMA ikijibu kumtetea Mbowe inakusumbua nini?
 
Inaaminika we anyika ni makini kuliko wenzako wengi. Usikubali kujiingiza kwenye utetezi wa kipuuzi na uongo. Yaani unaamini alishambuliwa na watu wakamkanyaga kanyaga na kumvunja mguu halafu baadaye aje dereva wake ambaye labda alishuhudia hayo au labda alishaondoka washauriane wasaidiwe na nani ndio waamue kumpigia simu dada/mama fulani ndio aje?...
Hujui kitu wewe , Shut up !
 

Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika leo ametoa kauli kali ambayo ndio kauli halali ya Chama chake kuhusiana na Propaganda za kishamba zinazosambazwa na Jeshi la Polisi zikiongozwa na IGP Sirro mwenyewe kuhusiana na shambulizi alilofanyiwa Mh Mbowe na Watu waliotumwa kumdhuru...
Hongera Mnyika! This is what we were waiting for. It is great!
 
Kisheria ukitaka kumtuhumu mtu kwa ulevi wa pombe, ni lazima upime asilimia ya kilevi (alcohol %).
Haiwezekani watu wanaotunga na kusimamia utekelezaji wa she ria za Inchi kudai kuwa mtu alikuwa amelewa chakari.
Hii chakari ni % ngapi?...
Mpaka sasa wamesha mshindwa.
 
Ni mjinga tu atakae amini alichosema mnyika,sote tunajua mbowe alilewa

Nakuunga mkono, mimi nafikiri kama DJ hakulewa Konyagi na kama usiku huo wa manane hakutoka nje ina maana alikuwa ndani mwake na watesi wake walivunja nyumba yake na kumtoa nje na kumpiga? na je nyumba za wabunge si zina ulinzi wa askari walikuwa wapi?

pili, kama DJ alitoka nje mwenyewe akaenda kulewa na wakati anarudi ndo akapigwa ina maana watesi wake walikula nae sahani moja na kumfuatilia siku nzima hadi walipopata chance ya kumdunda?

tatu je kama DJ hakudukuliwa mawasiliano yake ilikuwaje watesi wake wajue atatoka nje saa saba usiku huo na wakajiandaa kumshughulikia na kwanini hawakumpora chochote maana yake hawakuwa majambawazi?

nne DJ kama ni mwanaume kweli na kama hakuwa amelewa kwanini hakupanga nao mkono akakubali kiboya tu kuchakazwa?

My take: wengine tuna akili jamani DJ kweli kaonewa ila pia ni mzinzi na mlevi wa kutupwa na ni dhulumati anaiba pesa za ruzuku na zile wanazochanga wabunge! karma at work!!
 
Ila kwa hili la kuanguka Mbowe, kwakweli limeaibisha chama na uanachama wote. CDM ninavyowajua kama Mbowe angekua amepigwa wangeongea mpaka tungejuta hahaa ila kwa kuwa ni nguvu ya pombe aah wapo kimya wanarusharusha miguu tuu
Kondomu mko wengi sana
 
Back
Top Bottom