Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

Duu hapo kweli nimekuwekea jumaa seriously yupo smart coz nimejaribu kutembela page yake nikashangaa likes nyingi Ila hamna comments yeyote coz nilitaka kujua kama kuna customers wengine labda ambao wanakuwa sastified na huduma zake!! Hamna comments hata moja!! Haiwezekani
 
Free delivery ata kama utaletea mfano simu wanachagua ile ambayo ni ya ovyo tu maana masimu yenyewe ni refubrished yan ig now kila mtu anabiashara akiwa na account tu ya kupost.
 
Dah ile pc ilikuwa bomba haiendeni na bei kabisa
 
Hili tangazo nilikutana nalo sana mitandaoni, nikacheka sana. Jamaa alikuwa anauza MACBOOK kwa 250,000/-. Alikuwa ansema yuko Ludea Njombe. Ukitaka umtume jamaa jyako aliyeko Ludewa hapohapo akaione anakuwa mkali na anaku block ama anasema kasafiri kidogo. Naye aliliza wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…