Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

Piga booster ya dola 10 mkuu huyo mbona atakuja tu, hesabu za Cuba wanazijua wanawazuoni
 
Extrovert kuna huyu jamaa anauza magari anakampuni na anayatoa japan sasa kipindi kile nilitaka uwe unanisaidia kupata wateja ili nipate kitu huyu mtu yupo dar es salaam . Na anaonyesha sio tapeli japo sijawahi kumuona . Nilitaka nianze mwaka kwanza nijipange kama upo serious tuongee naye tujue hela inakuwa inapatikanaje. Meaning ile commission
 
Mapenzi hayana mjanja cha muhimu usilazimishe mtu akupende , ndo maana huwa natongoza mara moja tu akiniambia nisubiri jibu sitaulizia hilo jibu hadi aamue kusema mwenyewe na akikausha na mimi nakausha kwakifupi sipo romantic pia
 
Mkuu Extrovert

Umeweka key:value pair ya kibabe kabisa... Dictionary mtupu!
 
Haina noma we mpangilie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…