Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

Aah kumbe unaoungelea Malaya,kama ni Malaya sawa!
Mi sikuwa naongelea Malaya, hao si mnanunua tu
 
😅😅Karibu mi sio me bwana
Nimecheka mkuu
 
Anyway kwanza tunatofautiana,mi binafsi sio muumini wa 50/50...
Siamini kwenye hiyo ,nachojua mwanaume atabaki mwanaume nyingine mbwembwe tu.

😅Ndo maana kwenye pesa wanashindwa ku practice 50/50,ndo utajua mwanaume ameumbwa kuhudumia.

Mkeo itabidi apate 100 sio 75😅
 
100% uko sahihi.
 
Aah kumbe unaoungelea Malaya,kama ni Malaya sawa!
Mi sikuwa naongelea Malaya, hao si mnanunua tu
Hii concept ya mtu kuitwa Malaya huwa siielewi labda
Unakuta mke wa mtu anatafuta hela ya rejesho mumewe hajampa hapo boda anakula mzigo then anampa hilo rejesho (kumbuka its someone wife)

Hapo anaitwa Malaya ama mke wa mtu?
 
Tatizo ni upwiru na list ina wanawake wachache. Namfukoni ndio usiseme maana ni expense kama ilivyo kwa mahitaji mengine.
 
Hii concept ya mtu kuitwa Malaya huwa siielewi labda
Unakuta mke wa mtu anatafuta hela ya rejesho mumewe hajampa hapo boda anakula mzigo then anampa hilo rejesho (kumbuka its someone wife)

Hapo anaitwa Malaya ama mke wa mtu?
Sijui😅
Haya mambo bwana hapo sijui ataitwa nani🤷
Maana ndo alivyoni quote huko juu!
 
Kwahiyo mie ambae Nina mpenzi Hana maisha ila nipo nae utasemaje hapa?
Yaani Hana kitu ,ht nauli ya Daladala natumia tangu akijitahidi buku 5, utasemaje?
Mkuu acha kabisa Bado akupige matukio ,ndo maana mtu anaona Bora awe na anaemhudumia
 
Kuna mmoja kanitumia ujumbue muda huu "Am on my way" alafu ni katoto chakishua. Embu wale wa Scholastica mnisaidie kutafsiri
 
Umlale wewe,ahudumiwe na baba ake?😳
Muache basi usimtongoze Ili atunzwe na baba ake
Kulalwa sio kigezo cha kutunzwa ila kuolewa ndio kigezo kikubwa. Hata siku ya harusi mkiwa ukumbini baba mkwe atasema nakukabidhi huyu binti yangu baada ya kumlea kwa kipindi chote cha usichana wake.
 
Vijana mnakwama sana, kama una mpango wa kumhonga 30,000 mara 10, hiyo ni laki 3.

Mzoee kwa week 2 au mwezi, kistaarabu, zikiisha, mchape muamala wa laki 3

Atatatufa kuja mwenye bila wewe kumuita, yani wala hataomba nauli, maana atajua kapata mzinga
 
Nakataa kwa njaa iliopo huku nje hata uende umejipaka mavi usoni ila unawekundu wako kadhaa unakula tunda
 
Bado mwenye kauli na maamuzi ya kula tunda yapo kwa mwanamke
Wanawake wenyewe wanakuambia wao hela ndio kila kitu mkuu unakwama wapi hadi unaimani kubwa hivyo na hawa malaya.....? Mkuu sahani ya chips tu inamvua mtu chupi utasemaje yeye ndio ana kauli ya mwisho....?

Pesa , vyakula , fame, ndio msemaji wao wa mwisho so as a man jitahidi uwe na kimoja hasa hicho cha kwanza. Ila key point usioneshe kumdharau hata kama unamdharau kweli maana wanawake wameumbwa kuto vumilia dharau kwa namna yoyote ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…