Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

Kama alivyosema mdau, kuna mambo huwezi mfanyia mkeo sababu unamtunza na ana cha ziada anachokupa mfano kulea wanao ila malaya unamfanya tu halafu unamlipa sababu hana cha ziada anachokupa. Ni mwanaume Jinga jinga ndo atatunza malaya.

Anayetunzwa ni mke, malaya sijui mchepuko analipwa. Elewa tofauti.

Malaya analipwa ili aingiliwe ila hana cha ziada anachotoa. Malaya ni malaya tu hata kama hasimami kununuliwa au ananunuliwa kwa mtindo tofauti as long as sio mke wewe hautunzwi unalipwa.

We sema kuna malipo ya pesa ndefu mpaka unajitunza mwenyewe.
Aah kumbe unaoungelea Malaya,kama ni Malaya sawa!
Mi sikuwa naongelea Malaya, hao si mnanunua tu
 
Tayana-wog kwanza wewe, Leejay49 na Victoire huwa nawazimia sana, ila kiukweli wasiwasi wangu tu kuwaweka katika himaya yangu nisijeingia cha Kiume kwa kukutana na Me wenzangu au Shemele (utani) [emoji38].

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
😅😅Karibu mi sio me bwana
Nimecheka mkuu
 
Kwanini sasa huwa mnataka haki sawa na Me isipokuwa kuhusu pesa pekee?

Starehe si tunapata wote?

Ke wangu wa ndoa atakuwa anapata stahiki zote kwa 75% ila Michepuko kwakweli inabidi tujadili kwanza kwenye vikao vyetu Me [emoji125][emoji847]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Anyway kwanza tunatofautiana,mi binafsi sio muumini wa 50/50...
Siamini kwenye hiyo ,nachojua mwanaume atabaki mwanaume nyingine mbwembwe tu.

😅Ndo maana kwenye pesa wanashindwa ku practice 50/50,ndo utajua mwanaume ameumbwa kuhudumia.

Mkeo itabidi apate 100 sio 75😅
 
Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu.

1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa)

2.Nitakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe)

3. Sina hakika sana.... (Huyo ana uhakika kabisa haji)

4.Nitajitahidi nije...( Hatajitahidi kwa lolote)

5.Nitakufikiria usijali...(Hana ambacho atakifikiria hata kidogo)

Check with the next girl huyu wacha apumue zake, ana mtu wa kumkeep busy.
100% uko sahihi.
 
Aah kumbe unaoungelea Malaya,kama ni Malaya sawa!
Mi sikuwa naongelea Malaya, hao si mnanunua tu
Hii concept ya mtu kuitwa Malaya huwa siielewi labda
Unakuta mke wa mtu anatafuta hela ya rejesho mumewe hajampa hapo boda anakula mzigo then anampa hilo rejesho (kumbuka its someone wife)

Hapo anaitwa Malaya ama mke wa mtu?
 
Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu.

1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa)

2.Nitakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe)

3. Sina hakika sana.... (Huyo ana uhakika kabisa haji)

4.Nitajitahidi nije...( Hatajitahidi kwa lolote)

5.Nitakufikiria usijali...(Hana ambacho atakifikiria hata kidogo)

Check with the next girl huyu wacha apumue zake, ana mtu wa kumkeep busy.
Tatizo ni upwiru na list ina wanawake wachache. Namfukoni ndio usiseme maana ni expense kama ilivyo kwa mahitaji mengine.
 
Hii concept ya mtu kuitwa Malaya huwa siielewi labda
Unakuta mke wa mtu anatafuta hela ya rejesho mumewe hajampa hapo boda anakula mzigo then anampa hilo rejesho (kumbuka its someone wife)

Hapo anaitwa Malaya ama mke wa mtu?
Sijui😅
Haya mambo bwana hapo sijui ataitwa nani🤷
Maana ndo alivyoni quote huko juu!
 
Sisi Me ni wabishi tu kuamini huu ukweli.

Ke wafanyao simple businesses kwa Me ni wale tu walioolewa sababu hawana namna tayari wako ktk taasisi rasmi kimahusiano.

Michepuko, Mademu, ni wadangaji waliojificha ktk mapenzi ya dhati bandia wakituhadaa Me kuboresha mapungufu waliyonayo Ke zetu tu, tofauti yao na Ke wanaojiuza ni kutokuwa na sehemu maalum ya kuuzia visusio (mbususu) kama wale wa Ohio Posta, Kariakoo, Big Bone Sinza, Sokota Temeke, Buguruni, Zakhem Mbagala n.k. kwa Dar.

Michepuko, Mademu wote hutupenda Me sababu tuko vizuri kiuchumi kwa uhakika wa kula, kulala, kuvaa, gari, nyumba, outing, pocket money n.k. Ndiyomaana Ke wako radhi kimahusiano au kuolewa hata na sisi sura gome, Wazee/Mababu ilimradi sabuni ya roho iwepo "pesa".

Starehe ni gharama, maisha lazima yaendelee na ndivyo dunia ilivyo.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo mie ambae Nina mpenzi Hana maisha ila nipo nae utasemaje hapa?
Yaani Hana kitu ,ht nauli ya Daladala natumia tangu akijitahidi buku 5, utasemaje?
Mkuu acha kabisa Bado akupige matukio ,ndo maana mtu anaona Bora awe na anaemhudumia
 
Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu.

1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa)

2.Nitakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe)

3. Sina hakika sana.... (Huyo ana uhakika kabisa haji)

4.Nitajitahidi nije...( Hatajitahidi kwa lolote)

5.Nitakufikiria usijali...(Hana ambacho atakifikiria hata kidogo)

Check with the next girl huyu wacha apumue zake, ana mtu wa kumkeep busy.
Kuna mmoja kanitumia ujumbue muda huu "Am on my way" alafu ni katoto chakishua. Embu wale wa Scholastica mnisaidie kutafsiri
 
Umlale wewe,ahudumiwe na baba ake?😳
Muache basi usimtongoze Ili atunzwe na baba ake
Kulalwa sio kigezo cha kutunzwa ila kuolewa ndio kigezo kikubwa. Hata siku ya harusi mkiwa ukumbini baba mkwe atasema nakukabidhi huyu binti yangu baada ya kumlea kwa kipindi chote cha usichana wake.
 
Vijana mnakwama sana, kama una mpango wa kumhonga 30,000 mara 10, hiyo ni laki 3.

Mzoee kwa week 2 au mwezi, kistaarabu, zikiisha, mchape muamala wa laki 3

Atatatufa kuja mwenye bila wewe kumuita, yani wala hataomba nauli, maana atajua kapata mzinga
 
Mara zote nasema mwenye mamlaka na anaeamua kuhusu hili jambo hua ni mwanamke. Mwanamke akitaka hiyo huduma anaipata tu wakati wowote. Lakini sie wanaume unawezashangaa hata wale wafanya biashara anakugomea kama hataki na hauwezi kumfanya kitu.

Hakuna Cha tunda kimasihara, hua wao tu wameamua kuridhia mambo yasiwe mengi.
Nakataa kwa njaa iliopo huku nje hata uende umejipaka mavi usoni ila unawekundu wako kadhaa unakula tunda
 
Bado mwenye kauli na maamuzi ya kula tunda yapo kwa mwanamke
Wanawake wenyewe wanakuambia wao hela ndio kila kitu mkuu unakwama wapi hadi unaimani kubwa hivyo na hawa malaya.....? Mkuu sahani ya chips tu inamvua mtu chupi utasemaje yeye ndio ana kauli ya mwisho....?

Pesa , vyakula , fame, ndio msemaji wao wa mwisho so as a man jitahidi uwe na kimoja hasa hicho cha kwanza. Ila key point usioneshe kumdharau hata kama unamdharau kweli maana wanawake wameumbwa kuto vumilia dharau kwa namna yoyote ile
 
Back
Top Bottom