Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Aah kumbe unaoungelea Malaya,kama ni Malaya sawa!Kama alivyosema mdau, kuna mambo huwezi mfanyia mkeo sababu unamtunza na ana cha ziada anachokupa mfano kulea wanao ila malaya unamfanya tu halafu unamlipa sababu hana cha ziada anachokupa. Ni mwanaume Jinga jinga ndo atatunza malaya.
Anayetunzwa ni mke, malaya sijui mchepuko analipwa. Elewa tofauti.
Malaya analipwa ili aingiliwe ila hana cha ziada anachotoa. Malaya ni malaya tu hata kama hasimami kununuliwa au ananunuliwa kwa mtindo tofauti as long as sio mke wewe hautunzwi unalipwa.
We sema kuna malipo ya pesa ndefu mpaka unajitunza mwenyewe.
Mi sikuwa naongelea Malaya, hao si mnanunua tu