Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu.

1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa)

2.Nitakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe)

3. Sina hakika sana.... (Huyo ana uhakika kabisa haji)

4.Nitajitahidi nije...( Hatajitahidi kwa lolote)

5.Nitakufikiria usijali...(Hana ambacho atakifikiria hata kidogo)

Check with the next girl huyu wacha apumue zake, ana mtu wa kumkeep busy.
Siyo kupumua zake tu mkuu, mwache aendelee kudanga!
 
Acha hizo 🤣🤣🤣
 
Ss ndugu utasemaje mwanamke anapenda fedha ,km umeamua akumla mi jukumu lako
Yaani u atakua umle halafu nani ampe matunzo?
Tunawapa pesa sababu hatutaki kupotezeana muda na maigizo maana tunajua mwanamke anapenda fedha na akiipewa anajiacha ila as long as sio mkeo hana cha thamani anachotoa kudeserve matunzo maana kama ni kufurahia ngono sote tunaifurahia sasa kwanini utunzwe? Nini cha ziada unatoa? Kama ni bao na wewe si unalipiga wakati wa ngono? Kama ni kuvaa hata mwanaume anavaa ndo aje kwako mkafanye ngono.
 
Mwanamke kutokumpa ngono mwanaume mwenye fedha anayemsumbua ni sawa na mwanaume kutokumgusa rafiki mrembo wa mkewe aliyeomba hifadhi kwao huku akipita kila siku na kanga iliyolowa mkewe akiwa safarini.
Hapa wale wa KATAA NDOA wanamaisha mazuri sana! Hawataki stress za kipuuzi kama hizo wake/mademu za watu wanaliwa sana
 
Tatizo tunawataka sana wanawake, dawa ya mwanamke ni kutokumtaka. Kazi ya kutafuta mpenzi ni ya mwanamke ndio maana wanaenda kwa Mwamposa kuombewa.

Tatizo wanaume wengi tumejipa ilo jukumu ndio maana tunatesekea mapenzi, hadi tunashindwa kufanya mambo ya maana.
Uko sahihi kabisa kwa 100% Chifu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Tunawapa pesa sababu hatutaki kupotezeana muda na maigizo maana tunajua mwanamke anapenda fedha na akiipewa anajiacha ila as long as sio mkeo hana cha thamani anachotoa kudeserve matunzo maana kama ni kufurahia ngono sote tunaifurahia sasa kwanini utunzwe? Nini cha ziada unatoa? Kama ni bao na wewe si unalipiga wakati wa ngono? Kama ni kuvaa hata mwanaume anavaa ndo aje kwako mkafanye ngono.
Makubwa ss km hakuna Cha maana zaidi si Bora ubaki Kwa mkeo tu?
Baki Kwa mkeo,hiyo pesa muongezee mkeo !

Haijalishi mwanamke sio mkeo,wote sijui mnafurahia tendo mwanamke lzm umtunze Aisee,😅
Btw km unaona wa nn hasthili sbb sio mke,basi huna tofauti na wanaonunua , hiyo fresh
Ila km ni wapenzi acha tu watutunze
 
Back
Top Bottom