Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

Jitie kovu mkuu
 
Ni wewe ndyo umejipa hilo jina la uhendisamu au watu wamekuambia kwamba wewe ni hendisamu?

Unajua hapa duniani katika zile bahati ambazo wengi huamini kila mmoja ana ya kwake huwenda wewe una bahati ya kupendwa tu na watu regardless of your looking or dressing style. Kwahyo badala ya kuwa na bahati maybe ya kuwa na pesa,nyumba na vitu vingine vya thamani mwenzetu huwenda hyo ndo bahati yako.

Nb.itumie vizuri hyo bahati,ukiitumia vibaya umekwisha.
 
Mimi sijajipa hilo jina au hiyo sifa, watu wananiambia hivyo na wakati mwingine sipendi kuambiwa hivyo..

Lakini najitahidi nisije nikarubunika au kujawa na tamaa kwasababu hii, pia najitahidi kutunza heshima yangu kwa kutobagua au kumkataa mtu..

Kweli yaweza kuwa bahati, lakini napaswa kuwa makini bahati isigeuke mtego ambao utanipoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…