Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

Mfano wanasema Marekani ni taifa la mashoga, Je raia wote wa U.S.A wanakuwa wanajihusisha na LGBTQ?
Hii mada haihusu hayo mambo, kama na wewe ni mmojawapo na unataka kuwasemea, nenda kwenye mada zinazohusu hayo mambo
 
Kuhariri ubongo ni muhimu -maana sio kila wazo unabidi Ku-share na sio kila picha -unabidi ku-share.

Mfano huu Uzi umepelekea umeitwa
Mboga
Mchicha

Yote haya yatakufanya uone JF is not Right place to be kumbe ni right place but ur a wrong people in the right place
 
1721758314809.jpg
alisema bwana ki Tv
 
Hii mada haihusu hayo mambo, kama na wewe ni mmojawapo na unataka kuwasemea, nenda kwenye mada zinazohusu hayo mambo
The Point is,
mwanaume anayejisifia uzuri, huwa ana vinasaba fulani vya LGBTQ.

70% ya wanaojisifu si watu wa kazi na ni rahisi kuachia exhaust
 
The Point is,
mwanaume anayejisifia uzuri, huwa ana vinasaba fulani vya LGBTQ.

70% ya wanaojisifu si watu wa kazi na ni rahisi kuachia exhaust
Sawa, kuna lingine la nyongeza au ni hayo tu?
 
Back
Top Bottom