Kuwa mwanamke wa kisasa Tanzania ni changamoto sana katika mahusiano/ndoa

Unaishi dunia gani mkuu. Elimu na kipato ni factors kubwa sana zinazochangia heshima ya mwanamke. Kadiri mwanamke anavyozidi kupanda ngazi kieleimu na kouchumi ndivyo anazidi kupoteza sifa za mke bora.
Sijui heshima mnaichukuliaje? Hao wa kijijini ni uoga na ambao sio wasomi ni nidhamu za woga tu lakini sio kama wana heshima.
 
SAWA mdogo wangu nimetulia,ila pole na haya Mashangazi uchwara!
 
No wonder kuna wanaume wanaamuq kuoa golikipa bora maisha yampige lakini awe na mnyonge wake nyumbani

Inferiority complex yasumbua wanaume
Kwa hiyo hao wanawake unaowaita magolikipa ndio hawastahili kuolewa kabisa au hawana haki ya kuolewa sio?

Kwamba mwanaume akioa hao magolikipa tafsiri yake ni kwamba ana inferiority complex na badala yake akiona nyie wanawake masomi ndio Hana hiyo inferiority complex sio???

Kwamba wanawake wanastahili kuolewa pasipokuonekana Kuna hizo elements za inferiority complex ni nyie wanawake wasomi tu basi?? ... Ndio maana nasema nyie wanawake wasomi hususani wa kiafrika huko mashuleni mlienda kukalili maandishi tu na ku embrace upuuzi wa kimagharibi lakini kihalisia hamjaelemika hata kidogo, Sasa mfano kama wewe hapo kwa hii reasoning mbovu ya iliyojaa assumptions za kipuuzi utaniambia kwamba eti na wewe ni msomi uliyeelimika nikakuelewa???

Wewe mpaka hapo tu tayari ni mbaguzi kwa kigezo Cha elimu na unaona unaona Kuna kundi Fulani la wanawake halistahili kupata haki Fulani kama nyie wasomi.... Kichwa chako kimejaa ujinga mwingi sana
 
Huyo jamaa uliyemjibu hii comment ni first class simp, yaani ni aina ya wale wanaume waliochotwa na usasa wenye mlengo wa kike, jamaa anajikutaga ni bonge la liberal na wakati ni mjinga tu mmoja anayetamani kuishi maisha yasiokuwa na uhalisia wa ulimwengu huu.
 
Feminists ni wanawake au watu waliopaswa kupuuzwa tangu tuingine Karne ya 21.

Mwaka 2022 baada ya warusi kuvamia Ukraine na raisi Zelensiky kutangaza kwamba wanaume wote wa Ukraine ambao wako above 18 ni lazima waingie vitani kupambana na warusi na wakati huo akiwaruhusu wanawake wakimbie nchi tena akawaletea kabisa na trains za kuwasafirisha kwenda nchi jirani ya Poland.....

Nikategemea feminists around the globe wanalahani sana kile kitendo Cha Zelensiky kuwanyima wanawake wa Poland haki yao ya msingi ya kutetea taifa lao dhidi ya wavamizi wa kirusi, lakini wapi Kila mtu alikuwa kimyaaa na ndio kwanza wakaanza kuleta justifications za kipuuzi eti kwa sababu vita imeanzishwa na wanaume basi wanapaswa kupigana kwenye hiyo vita ni wanaume wa Ukraine.

Ndio maana Mimi nikiona mwanaume anashoboka na feminism huwa naghafilika sana
 
Kuna dada nmemkubali sana, ila ni mwanaharakati wa 50/50, ni mjuaji, amesoma mpaka master ila ni fundi chereani,
Yaani nachoka kabsa
 
Ni ulimbukeni tu, Beyonce ana sura, pesa na kalio la haja ila katulia kwenye ndoa yake, hapa nyumbani mwanamke kumiliki tu saloon basi tako mbwata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…