Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #21
Ilo nakataa mbona arusha wapo na wanavaa vikuku kwa kisingizio culterJapo si wote ila kuna wanaume wa Dar wanatisha kwa matendo na mienendo yao.. Kutwa kushindana na dada zao kwa kutoga masikio, pua, kuweka vipini kwenye ulimi.. Yaani makao makuu ya uovu yapo.
Zile meseji za tuma kwenye namba hii nyingi kama si zote zinatoka kwao. Kazi yao ni utapeli, kushinda kwenye saluni za kike wakiosha miguu ya wanawake na kushinda kwenye vituo vya kubet basi.Anavutiwa kasi.Atajishangaa kama siyo kufurahishwa.Mnajulikana kwa kupenda kutumia imani waliyonayo wageni wenu kuwapiga mishangazo.Halafu huwa hamkawii kuzima simu mkitafutwa ili msioneshe mnapoishi.
Sikia wewe kama una hasira na sisi kisa tulishakupigia manzi yako iyo kawaidaAnavutiwa kasi.Atajishangaa kama siyo kufurahishwa.Mnajulikana kwa kupenda kutumia imani waliyonayo wageni wenu kuwapiga mishangazo.Halafu huwa hamkawii kuzima simu mkitafutwa ili msioneshe mnapoishi.
Kuosha miguu ni kazi kaka na watu wamejenga kwa hiyo kazi kaka ulitaka watu wakabe?Zile meseji za tuma kwenye namba hii nyingi kama si zote zinatoka kwao. Kazi yao ni utapeli, kushinda kwenye saluni za kike wakiosha miguu ya wanawake na kushinda kwenye vituo vya kubet basi.
Unawaongelea wamasai na hiyo ni tamaduni.. Sitoshangaa hapo unaweza kuwa una shanga kiunoni na kichupi cha kamba kamba (utani tu).Ilo nakataa mbona arusha wapo na wanavaa vikuku kwa kisingizio culter
Sahihi.Bila kusahau kushinda kwenye maduka wauzayo nguo na viatu(mavazi na vipodozi/marashi) kuuza sura na kufanya udalali wa bukubuku.Kwa saba kwenye maduka hayo hawalipwi kitu.Mwajiriwa anakuwa mmoja au wawili tu.Wengine wanajitolea utadhani watoto wapo field maofisini.Zile meseji za tuma kwenye namba hii nyingi kama si zote zinatoka kwao. Kazi yao ni utapeli, kushinda kwenye saluni za kike wakiosha miguu ya wanawake na kushinda kwenye vituo vya kubet basi.
Umeona tu hilo la kuosha miguu mengine yote umeyapotezea..Kuosha miguu ni kazi kaka na watu wamejenga kwa hiyo kazi kaka ulitaka watu wakabe?
Siwezi kuwa na hasira ila huwa mawachora na ninafahamu mbinu zenu za kuishi mjini.Ndiyo maana nikifika na hela nilizouza ng'ombe mamarioo wote lazima wale "biya" na nauli nawapa huku wananishangilia.Mimi nawachora tu.πSikia wewe kama una hasira na sisi kisa tulishakupigia manzi yako iyo kawaida
Sio wote wapo ibyo ujanja upo mjini kijijini upo ulofa kama huo mnata na yakutolea
Huna heal ya kutupa sisi bhna wewe acha zakoSiwezi kuwa na hasira ila huwa mawachora na ninafahamu mbinu zenu za kuishi mjini.Ndiyo maana nikifika na hela nilizouza ng'ombe mamarioo wote lazima wale "biya" na nauli nawapa huku wananishangilia.Mimi nawachora tu.π
Lbda kaka yako ila sisi wengine tupo freshi sana nguvu zinahitajika shambani nasio kwenye mapenziKuna kitu cha msingi sana umesahau..
nguvu za kiume pia ni janga kwenu.
Shauri yako.Kalaghabaho.Huna heal ya kutupa sisi bhna wewe acha zako
Sio wamasai wachaga wa arusha wengi mmeharibiwaa na watalii wanaokuja uko mnajifanya mnafuga rasi wakat hamna kitu hapoUnawaongelea wamasai na hiyo ni tamaduni.. Sitoshangaa hapo unaweza kuwa una shanga kiunoni na kichupi cha kamba kamba (utani tu).
Tafuta pesa mkoani sio pakuoshi wanaishi mifugo uko mikoani ππShauri yako.Kalaghabaho.
Na ndiyo maana kila muda kujilisha karanga,nazi,mihogo mibichi na kupiga simu kwa madereva au wafanyabiashara wa DRC wawaletee mkongo wanaporudi.Kutwa kushindia vikaptula na kujipaka mikorogo.Bure hawa!Kuna kitu cha msingi sana umesahau..
nguvu za kiume pia ni janga kwenu.
Kwa staili hii utachapiwa sanaLbda kaka yako ila sisi wengine tupo freshi sana nguvu zinahitajika shambani nasio kwenye mapenzi
Acha zako wewe mongo ni dawa ya kifuaNa ndiyo maana kila muda kujilisha karanga,nazi,mihogo mibichi na kupiga simu kwa madereva au wafanyabiashara wa DRC wawaletee mkongo wanaporudi.Kutwa kushindia vikaptula na kujipaka mikorogo.Bure hawa!
Hovyo kabisaNa ndiyo maana kila muda kujilisha karanga,nazi,mihogo mibichi na kupiga simu kwa madereva au wafanyabiashara wa DRC wawaletee mkongo wanaporudi.Kutwa kushindia vikaptula na kujipaka mikorogo.Bure hawa!
Sijawai chapiwa labda kuwachapia nipe demu wako akirudi mkoan tuone kama atakutaka tena πππKwa staili hii utachapiwa sana
Siwezi kukaa vijiweni kusengenya au kubeti wakati kuna kazi za heshima mikoa mingine.Sura zenu huwa mnajitahidi ziwe na nuru kwa kujipaka mafuta ya nazi yanayobaki mikononi baada ya kula vitumbua au chapati magengeni.Tafuta pesa mkoani sio pakuoshi wanaishi mifugo uko mikoani ππ