Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

Hii inahubiriwa na nyie wanaume kwa kasi sanaaa ila ni kwenye pesa tu, mengine hamtaki🤣🤣

Si mnajiita vichwa vya familia, sasa iweje hilo liwe tatizo!!!

Kwahiyo mnataka haki sawa au hamuitaki?
Hivi kati ya jinsia ya ke na me ipi ina utitiri wa NGOs?
 
Wewe ni mjinga mmja,ukitaka mwanamke akupende usimpe attention Wala kujifanya unampenda
 
Wana ujinga mwingi hawa...yaani ukichat nao tuu utasikia bby nikwambie kitu
au utasikia na shida na kiasi flani, ukijiroga kumwambia takupa mda flan utatamani simu ufunge, mana zitamiminika simu na sms had utaonesha ulikoweka hela ila ukiomba game vinamajibu ya shombo. utasikia mim sio sex toy, sasa unajiulza sasa hela zangu anadai za nini kana kwamba ni haki yake.. wanawake ni matapeli sana kwa mgongo wa mapenzi
 
Hata kudate a broke ass man ni kazi vilevile, maana unageuka mwanaume kwenye mahusiano ni kumuhudumia tu kijana mara buku mara afu tatu.

Eniweiz tuvumiliane.
Dah kuhudumiwa na Mwanamke ni unyonge sana aisee. 😃😃😃

Enewei tuvumiliane. Watu husema let love lead
 
Wewe ni mjinga mmja,ukitaka mwanamke akupende usimpe attention Wala kujifanya unampenda
sawa nimekubal mimi ni mjinga, ila naomba orodhesha hapa vitu vya kuzngatia(guidelines) ili next time niwanyoshe na mimi. karibu
 
Achana na NGO, hizo ni biashara za watu kujinufaisha. Sema, mnataka haki sawa au hamtaki?
Biashara za watu ila zinanguvu maana wanaruhusiwa kufanya kampeni mpaka mashuleni na hawa ndio walio tuharibia jamii yetu ya sasa, watoto wengi wa kiume wa siku hizi hawa fikiri kama wanaume.

Hamna mwanaume anayetaka haki sawa ,hakuna NGO yoyote inayo push maswala ya haki za wanaume na hatuna time nayo. Huwezi kusikia eti kuna siku ya wanaume, kwanza sizani kama ipo.

Ila siku yenu nyie maandalizi yanaanza mwezi mzima kabla ya siku yenyewe ,kwenye maredio,masocial networks,wanahojiwa viongozi wa NGO mbalimbali, strong independent woman, vikongozi wa kike nk,yaani msululu wa matukio kibao, siku yenyewe ndio ile list ya strong woman inapewa tuzo.
 
Tajiri uko wapi sahivi, nikupigie? Ndio natoka bandarini kishusha kontena
nipo kwenye private jet nelekea dubai, nikitoka dubai ntakua HAWAII kwa siku tatu nikitoka hapo naenda INSTANBUL baada ya hapo tarejea bongo land.
 
Usinikumbushe machungu yule mtu alikua taahira na inakera sana kama mtu mzima miaka 35 anakosa elfu tatu ya kula? " baby naomba afu tatu nna njaa sijala tangu asubuhi.
 
Usinikumbushe machungu yule mtu alikua taahira na inakera sana kama mtu mzima miaka 35 anakosa elfu tatu ya kula? " baby naomba afu tatu nna njaa sijala tangu asubuhi.
Dah! Ila kwenye huu uzi tutaona shuhuda nyingi sana za wanaume walivofanyiwa na ke.
 
Hawa ni kununia mbususu na kusepa zako. Mapenzi kwa mama yako tuu.
Hawa wanawake wengine ni matapeli tuu.
Dont date broke gals
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…