Kuwafikia Wakenya itachukua Miaka mingi sana

ukitaka kushinda vita tumia busara, ukijifanya mgumu kuna wagumu zaidi yako na watakaopata tabu ni familia yako! tumia akili
 
yote unaofanya familia yako ndo itaumia sio wewe, ukiamua kuandamana tena fresh atauliwa mwingine na ndo faida mtakaokua mmepata
Wewe tulia haushurutishwi kujibidiisha kwa lolote kuhusu haki,sheria na ustawi wa jamii.Wenye nia,haja na guts watakupigania tu.Wewe jitulize kama kasuku katorokwa na mchumba wake.
 
Wewe ni mrundi?
 
Utasikia yupe producer wa upinde akisema wakenya tuna wapita kila kitu. Kmmk labda ujinga kweli tumewapita
 
Wewe tulia haushurutishwi kujibidiisha kwa lolote kuhusu haki,sheria na ustawi wa jamii.Wenye nia,haja na guts watakupigania tu.Wewe jitulize kama kasuku katorokwa na mchumba wake.
we endelea kubweka nyuma ya keyboard
 
we endelea kubweka nyuma ya keyboard
Kutumia keypads au keyboards hakumfanyi mtu aliyezaliwa akiwa timamu wa akili na mwili,mdadisi,mpenda haki,maendeleo na ustawi mwema ashindwe kujisimamia na kupigania jamii iwe bora.Labda,yule aliye zuzu,zezeta na mdumavu ambaye kwake yeye haamini hayo.Na,ikitokea watu au mtu anakuwa mpambanaji atampa maneno legevulegevu kama "utaweza"?Tuliona wengi!Yatakushinda!Jisalimishe!Achana nao wana nguvu! Na ujingaujinga mwingine kama huo.
 
Kuwafikia kwa upumbavu au kwa uvutaji wa bangi? We ni pumbav mpk chenji inabaki. Wakenya ni malimbukeni, wengi ni majobless na mirungi na bangi imewaharibu sn akili. Sisi hatuna la kujifunza kwa hayo mapimbi yasiyojitambua
 
si unaona mwenyewe unajifunga kwahio ukiandamana akifa mwingine ndo faida mtakaokua mmepata?
Acha ujinga. Lengo la maandamano ni kukemea na kukomesha tabia hiyo ili kesho isijirudie tena.
 
maelezo yote ya nn keyboard waria? 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…