Kuwapiga wanawake hivi sio sawa hata kama ni wezi

Me ningemwacha tena aondoke na alivyoiba ila aniombe msamaha tu na Mungu pia

Asipate laana huko aendako
 
Duuuuh makubwaaa khaaaaah.
 
Unapenda kutetea Usenge wewe . Sijui kwanini ?
Kwahiyo nisiseme ukweli? Kila tatizo linasababishwa na ushoga?, hivi mko timamu kichwani? Kwahiyo wanawake wakiwa wezi basi ushoga unaongezeka zaidi?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu mmechanganyikiwa kabisaaa, pambaneni na tatizo husika, Ushoga hau husiki hapa.
 
Reactions: Tui
Hawa wakamatwe,waliofanya ukatili huu.Ilitakiwa wampeleke kwenye vyombo vya sheria.Sio ukatili huu.

Tatizo mnaliruka suala la wizi kimakusudi. Wasingeenda kuiba dukani nani angewapiga?. Mwizi ni mwizi tu.
 
Tatizo mnaliruka suala la wizi kimakusudi. Wasingeenda kuiba dukani nani angewapiga?. Mwizi ni mwizi tu.

Kwahiyo unapingana na Mwenyezi Mungu? Hata mwanaume hutakiwi kumuuwa kisa ameiba. Kuweni na imani na muogopeni Mwenyezi Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…