Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Karne hii ya 21 mnazindua treni ya Mwaka 1900 huko???? CCM hamnaga akili kabisaKatibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha.
Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.
Source Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Wenzio wamekusanyika stesheni bwashee!Karne hii ya 21 mnazindua treni ya Mwaka 1900 huko???? CCM hamnaga akili kabisa
Hao watakuwa wameletwa na magari kutoka Tanga na MwangaKatibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha.
Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.
Source Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Wachagga siyo wapumbavu kiasi cha kwenda kushangaa ujinga bwashee!Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha.
Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.
Source Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha.
Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.
Chanzo: Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Nawasifu tu CCM kwa kuwa na Mikakati ya namna hii kwani hakuna asiyejua kuwa Kilimanjaro na Arusha walikuwa hawapendwi sasa watapendwa.
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha.
Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.
Chanzo: Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
na heri huo ujinga angefanya ukanda wa wasukuma huko kaskazini anapoteza muda wake tuUzuri wake Nikwamba Zama zimebadilika siku hizi ukiingiza Siasa kwenye Maswala ya umma unajulikana mapema tu, hii imesababishwa na Teknolojia kuenea pamoja na Elimu.
Maana zamani wajinga wasio na Elimu pamoja na Teknolojia duni vilitumika Kama nyenzo ya kupata kura za wajinga.