Kuwasili kwa treni ya abiria jijini Arusha kwa mara ya pili baada ya miaka 30

Trein inazinduliwa leo how? trein imekuwepo kabla ya uhuru, CCM inahisi kila mtu ni mjinga
Ndio mana lisu anawaambia miundombinu kabla ya uhuru ilikuwa inajengwa na marais wastaafu nao wamejenga miundombinu sasa inakuwaje awamu hii ndo ionekane miundombinu imeanza kujengwa wananchi wananyanyaswa hawapewi stahiki zao
 
Kule sio ruangwa au chato,watu treni wanaijua meko hajazaliwa...washamba wako burigi
 
Mosh sio washamba to that extent unless wameambiwa kuna nyama ya kitimoto.
 
Acha hamaki. Usijifanye kama hujui ccm ndio chama tawala. Serikali inatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi.
 
We hujui hesabu kuna kamanda mmoja ameelezea. If A=B and B=C then A=C.
 
Mkuu pole Sana...hiyo paragraph ya pili umeandika kwa uchungu sana
 
Hiyo treni na polepole hajawasomba waigizaji? siyo wasanii.
 
wameenda kuona kushuhudia na kushangaa kama pole pole ni mtu au mnyama maana ile sura haijajieleza ipasavyo yupo kundi gani la mamalia
[/
Kama mhombea wenu amabe sura yake kama kobe maji
 


Watanzania na Wana Arusha mimi nauliza

"HIYO TRENI NI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)?
 
Moshi kwenda Arusha wananchi wanatumia coaster bus TSH 3,000 kwa kutumia masaa 1.30 kuingia arusha.sasa train kutoka Moshi kwenda Arusha itatumika masaa 4 Nani wa kuisubiri? Itapalia abiria kwa TSH 330 au?

Hawa wanasahau kuwa siku za nyuma kuna mabehewa yalikarabariwa kafanya safari za
Moshi - Arusha lakini zikasimamishwa baada kuonekana kuwa zinaingiza hasara.

Ukiacha suala la muda, reli ya kwenda Arusha haina kokoto kabisa sehemu kubwa; hivyo vumbi linatimka sana wakati treni inapita na abiria wanafika wamechafuka mno...!
 
Bwashee hiyo TRENI ilijengwa na Mkoloni kabla watanzania wote hatujazaliwa.Mwanza,Dar na Morogoro SGR huku kaskazini ???????.Hakuna mtu ataacha kupanda COASTER 45 minutes Arusha to Moshi,apande treni 2 hours.
 
Kazi nzuri maendeleo hayana chama kwahiyo msianze kuhoji kwanini iwe polepole[emoji23][emoji23]
 
nadhani amemaanisha kilimanjaro na Arusha zilikuwa hazipendwi na wajenzi wa treni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…