Kuweka Records Sawa: Utaratibu alioupendekeza Shabiby ndio uliokuwepo kabla, Haufai

Ubora weka pembeni hilo kama ulivyoweka fixed costs kama zilivyo hapa:

Issue ni CIF bargaining, usafiri na wapi yananunuliwa.

Umesahau kuwa yawezekana tunapigwa.

Timu kuagiza yaweza kuwa imesheheni wahuni mtupu!
 
Bei inaweza kuwa za chini na himilivu lakini ametoa tahadhari hapo kuwa mfumo anaopendekeza shabbiby ,kuna kampuni zinaweza agiza mafuta ya ubora wa kiwango cha chini .

Ubora ni kisingizio mjomba. Kwani TBS ana kazi gani?
 
Ubora ni kisingizio mjomba. Kwani TBS ana kazi gani?
Tbs wangekuwa wanakagua ubora kweli na wapo makini kusingekuewa na vitu feki kariakoo..
Tbs haina msaada kwa mwananchi wa kawaida ,
 
Acha uongo mjomba kodi ni zaidi 100% kwenye mafuta:

Na hapo wahuni bado hamjafanya yenu.
 
Sasa ndugu mdau hebu tueleze . juzi tumeambiwa mafuta yapo ya kutufikisha siku 27. Lakini juzi ewura wametangaza bei mpya na zimeanza kutumika hapohapo , kwanini isingesubiriwa hizo siku 27 ziishe Ndo bei zibadilike?
Mafuta yaliyoletwa yanatosha hizo siku, huwezi leta meli moja kwa wakati, zinakuja nyingi kwa muda fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi na bidhaa za kariakoo ziagizwe kwa uagizaji wa pamoja kama mafuta.
Tbs wangekuwa wanakagua ubora kweli na wapo makini kusingekuewa na vitu feki kariakoo..
Tbs haina msaada kwa mwananchi wa kawaida ,
 
Tbs wangekuwa wanakagua ubora kweli na wapo makini kusingekuewa na vitu feki kariakoo..
Tbs haina msaada kwa mwananchi wa kawaida ,

Hii ndiyo inahalalisha sasa kuwa kwa mawazo ya Shabiby tutaelewana mafuta feki?

Uchakachuaji si huwa unafanyika humu humu nchini?

Kama TBS haina kazi kwanini kuendelea kuwa mzigo kwetu?
 
Hii ndiyo inahalalisha kuwa kwa mawazo ya Shabiby tutaelewana mafuta feki?

Uchakachuaji si huwa unafanyika humu humu nchini?
Ukimsoma mtoa mada kuna sababu nyingi zaidi ya uchakachuaji
 
Ukimsoma mtoa mada kuna sababu nyingi zaidi ya uchakachuaji

Una maslahi yoyote na bei kubwa kwenye mafuta ndugu?

Kwanini nguvu kubwa hivi kuhalalisha bei kubwa hata pasipokuwa sababu?
 
Tafuta Bei za 2011 kurudi nyuma, anachosema shabiby ni kweli Ila serikali ilikua inashindwa kuwabana kwenye mapato.
2008 kama sijakosea tulivuka 2250 kwa Lita na kukikuwa hamna vita huko Ukraine...
 
Una maslahi yoyote na bei kubwa kwenye mafuta ndugu?

Kwanini nguvu kubwa hivi kuhalalisha bei kubwa hata pasipokuwa sababu?
Sina maslahi yoyote kwenye bei kubwa, ila pia sio mtu wa kusikikiza na kukubali kika ninaloambiwa just because nipo kwenye shida au hali ngumu,

Bei za mafuta zipo juu, lakini hao kina shabiby ni wapigaji tu kama wapigaji wengine , kuna kitu wameona kunawabana kwenye mfumo huu wa kuagiza kwa pamoja , kwa mfumo ukiopo sasa tuna access na mafuta bora sana maana hakuna loopholes
Kuna madudu mengi sana kwenye ule mfumo wa kika mtu kuagiza , na wala bei haitashuka kama anavyosema shabiby .
Sana sana serikali itapoteza mapato
 
Kwa nini kuandikia mate? Shabiby anaahidi bei kupungua chini ya 50%?

Kwanini asipewe nafasi kama Masudi Kipanya ku prove gari lake la umeme?
Sasa anashindwaje kuleta mafuta ya bei chee hata sasa? Mfumo wa BPS unashindanisha kampuni zote interested kuingiza mafuta na unatoa tenda kwa kampuni iliyo na bei ya CHINI kupita zote. Kwa akili za kawaida hapo Shabiby anazuiwa vipi kampuni yake kuomba kwa bei ya chini (lowest bidding price) ili kuingiza mafuta kwa bei ya chini? Kwanini kwenye mchango wake hakuelezea sababu za serikali kuachana na mpango wa zamani (anaoupendekeza) na kuingia kwenye mpango mpya?
 
Kwanini kuandikia mate? Kwanini umeng'ang'ania kuandikia mate? Kwamba bei hazitashuka kwa ubora ule ule kwani wewe ni Kerubi?
 
2008 kama sijakosea tulivuka 2250 kwa Lita na kukikuwa hamna vita huko Ukraine...
Hawaelewi hawa vijana wa juzi akili zao ziko whatsapp na Facebook tu. Shabiby anajua vizuri anachokisema ila anajua watanzania mazwazwa hivyo atapata wafuasi wengi tu. Infact, kama sio mfumo huo wa pamoja mafuta yangekuwa yamefika 5000 kwa lita siku nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…