DOKEZO Kuweni makini na utapeli nimepigwa milioni na ushee, matapeli wanakuja na njia mpya kila siku

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni wakala mwaka jana nimetuma kama 850000 mtejaa katuma kwa tapel anajua anachart na demu wa kizungu toka UK kumbe mbongo mwenzake baada ya kutuma pesa baada ya lisaa naona jamaa kaja jasho linamtoka nikajua tayar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23] kipindi namaliza masomo,nilitapeliwa akiba yote niliyokuwa naweka wakati nipo chuo!

Nitukio la aibu lakin nivema kukiri wazi ili wengine wajifunze! Nilitafuta kazi nikakosa, option iliyobaki ikawa kujiunga freemason [emoji23][emoji23][emoji23]unaweza ONA kama ujinga,au kuwa mtu kasoma ila hajaelimika!!siokuna Hali inakupata yaaani matapeli wanakushika akili

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka huu mchongo ulifanya ninaswe vibao na bi mkubwa kipind niko form three enzi hizo nipo busy na facebook si akatokea mdada na ishu zake ooh nimefiwa na wazazi wangu wana mali nyingi mara nataka nikutumie zawadi kisha baada ya kipind kifupi uje ulaya uwe msimamizi wangu... aloo nilivyomuomba bi mkubwa kadi yake ya benki ili itumwe nilikula makofi mawili ya fasta akili zikaka sawa
 
Namwambia huko iliko zawadi kuna ndugu zangu nakupa address wakachukue
 
😅🤣🤣🤣🤣
 
Tapeli yoyote atazunguka mwisho wa siku atasema" tuma pesa.
 
Mbona Utapeli huu ni wakizamani sana.
 
Mm mwaka jana nilinusurika na janga hilo. Niliwastukia mapema kabla madhara hayajatokea
 
Sio wkt mwingine bali wkt wote tamaa ndio humponza bibadamu. Hawakukosea waliosema TAMAA MBELE MAUTI NYUMA
 
Bado watu mnatapeliwa kifala namna hii?
 
Pole sana, Mimi kwa falsafa yangu, huwa siamini kama kuna kitu cha bure, au kamserereko!
Nothing goes without a price! Ndio maana huwa saiamini michezo ya kubet!
 
Nikajua sijui utapeli gani kumbe mshamba wa Facebook amepigwa 🤣😂

Jiongeze shtuka mtu ana pesa iweje ulipie wewe gharama hata kama address imekosewa ilitakiwa kamouni iwajibike.

Wajinga ndo waliwao jamaa ni mbongo tu pole kwa kupigwa.
 
Samahani kama nitakukwaza, ila huu wizi ni wa kidwanzi sana na ukipigwa hivi basi tamaa imekuponza
 
Matapeli wa Naija kina Hushy Puppy 🤣kitambo sana ma meseji yao Facebook.
 
Kis
Bafo mnaibiwa kishamba hvyooo...yaani huo iwozi niliushtukia toka mwaka 2008 leo hii nashangaa tu
Kishamba sana, afu mara nyingi shobo ndio zinawaponza

Kuna namna mtu akipigwa unasema kweli hata mimi ningejaa lakini sio mbinu kama hii ambayo ni ya kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…