DOKEZO Kuweni makini na utapeli nimepigwa milioni na ushee, matapeli wanakuja na njia mpya kila siku

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni wakala mwaka jana nimetuma kama 850000 mtejaa katuma kwa tapel anajua anachart na demu wa kizungu toka UK kumbe mbongo mwenzake baada ya kutuma pesa baada ya lisaa naona jamaa kaja jasho linamtoka nikajua tayar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23] kipindi namaliza masomo,nilitapeliwa akiba yote niliyokuwa naweka wakati nipo chuo!

Nitukio la aibu lakin nivema kukiri wazi ili wengine wajifunze! Nilitafuta kazi nikakosa, option iliyobaki ikawa kujiunga freemason [emoji23][emoji23][emoji23]unaweza ONA kama ujinga,au kuwa mtu kasoma ila hajaelimika!!siokuna Hali inakupata yaaani matapeli wanakushika akili

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka huu mchongo ulifanya ninaswe vibao na bi mkubwa kipind niko form three enzi hizo nipo busy na facebook si akatokea mdada na ishu zake ooh nimefiwa na wazazi wangu wana mali nyingi mara nataka nikutumie zawadi kisha baada ya kipind kifupi uje ulaya uwe msimamizi wangu... aloo nilivyomuomba bi mkubwa kadi yake ya benki ili itumwe nilikula makofi mawili ya fasta akili zikaka sawa
 
Mzigo ukifika mtu au kampuni uliyoambiwa itakupatia mzigo huo wanakupigia simu kukujulisha kuwa mzigo umefika, lakini mzigo huwa unakuwa umepelekwa mji tofauti na wewe, na hapo utaambiwa, address ilikosewa au imetokea kutoelewana/sintofamu mzigo umetumwa sehemu nyingine, ili utumiwe mzigo huo unatakiwa kutuma pesa ya usafiri.
Namwambia huko iliko zawadi kuna ndugu zangu nakupa address wakachukue
 
Nakumbuka huu mchongo ulifanya ninaswe vibao na bi mkubwa kipind niko form three enzi hizo nipo busy na WhatsApp si akatokea mdada na ishu zake ooh nimefiwa na wazazi wangu wana mali nyingi mara nataka nikutumie zawadi kisha baada ya kipind kifupi uje ulaya uwe msimamizi wangu... aloo nilivyomuomba bi mkubwa kadi yake ya benki ili itumwe nilikula makofi mawili ya fasta akili zikaka sawa
😅🤣🤣🤣🤣
 
Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo.

Sasa akishaona umemuamini anakwambia fulani nina zawadi kwaajili yako nataka nikutumie, anakuonesha zawadi hizo na mara nyingi zinakuwa ni za gharama kubwa sana. Anakupigia picha akizipaki mpaka siku anazituma na anakupa mawasilianao ya mtu au kampuni inayotakiwa kudeliver mzigo huo.

Mzigo ukifika mtu au kampuni uliyoambiwa itakupatia mzigo huo wanakupigia simu kukujulisha kuwa mzigo umefika, lakini mzigo huwa unakuwa umepelekwa mji tofauti na wewe, na hapo utaambiwa, address ilikosewa au imetokea kutoelewana/sintofamu mzigo umetumwa sehemu nyingine, ili utumiwe mzigo huo unatakiwa kutuma pesa ya usafiri.

Ukiangalia pesa ya usafiri unayotajiwa na thamani ya vitu ulivyotumiwa unaona pesa ya usafiri ni ndogo sana, hivyo huoni hata shida ya kutuma! Ukishatuma tu imekula kwako, kampuni au mtu huyo anakublock inakuwa imetoka hiyo, ushaliwa!

Jambo la kuzingatia ili usije kuingia mkenge, watu hawa huwa hawataki kutumia video call, utabaki kuona profile picture zao na kusikia sauti lakini katu hawakubali kufanya video call ili ujue utambulisho wao.

Watu hawa wamekuwa wakitumia udhaifu wa watu kuwa wapweke kihisia kutapeli watu, sio upande wa mapenzi tu hata urafiki wa kawaida, jinsi wanavyokuchota utaona nimepata rafiki wa kweli kumbe mtu yupo kazini.

Kuweni makini.
Tapeli yoyote atazunguka mwisho wa siku atasema" tuma pesa.
 
Mbona Utapeli huu ni wakizamani sana.
 
Mm mwaka jana nilinusurika na janga hilo. Niliwastukia mapema kabla madhara hayajatokea
 
Maranyingi watu hutapeliwa Kwa Kuweka tamaa mbele

Mimi hizo issues nishakuna nazo mara kadhaa ukishazoeana nae na mara nyingi anajifanya kwamba yupo ktk mashirika ya kuenza neno la MUNGU.

Mkishazoeana cku Moja anakwambia nimepata zawadi ambazo nyingi zao mm si mtumiaji au ninazo Anakutumia mapicha ya mikufu saa za Bei ghali laptops camera na makorokoro mengine ukiwa na akili kdg tu hapo lazima kengele ya tahadhar Italia kichwani mwako

Baadae atakwbia vitu husika nampa rafiki yangu anaondoka Leo kwani group lao na kujitolea linakuja fanya kazi za kujitolea Africa.

Baada siku chache utapokea ujumbe Kwa namba nyengine ikikwambia rafiki yako kaniipa mzigo wako na tulifikiri Nchi za Africa zinafikika zote kirahisi kumbe sivyo nimeenda posta kuangalia nawezaje kukutumia wamenambia njia rahis ni ya MMS wametaka dollar 200 au atakutajia 150 ataomba umrumie ICHO kiwango na atakupa njia za kuzituma ukituma biashara imeisha

Mm nilimwambia awasiliane na RAFIKI YANGU Ile izo pesa atume yeye coz yeye ndio alietaka kuniletea zawadi mm sikuomba

Baada siku moja anakwambia HAPATIKANI na vitu vyako ni vya gharama kubwa jipige ulipie tuu

Mm nikamwambia uzaa baadhi ya zawadi zangu Kisha hela iliyobaki utume mzigo ikawa mwisho wao

Wakati mwengine tamaa zet hutufanya tutapeliwe karahisi
Sio wkt mwingine bali wkt wote tamaa ndio humponza bibadamu. Hawakukosea waliosema TAMAA MBELE MAUTI NYUMA
 
Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo.

Sasa akishaona umemuamini anakwambia fulani nina zawadi kwaajili yako nataka nikutumie, anakuonesha zawadi hizo na mara nyingi zinakuwa ni za gharama kubwa sana. Anakupigia picha akizipaki mpaka siku anazituma na anakupa mawasilianao ya mtu au kampuni inayotakiwa kudeliver mzigo huo.

Mzigo ukifika mtu au kampuni uliyoambiwa itakupatia mzigo huo wanakupigia simu kukujulisha kuwa mzigo umefika, lakini mzigo huwa unakuwa umepelekwa mji tofauti na wewe, na hapo utaambiwa, address ilikosewa au imetokea kutoelewana/sintofamu mzigo umetumwa sehemu nyingine, ili utumiwe mzigo huo unatakiwa kutuma pesa ya usafiri.

Ukiangalia pesa ya usafiri unayotajiwa na thamani ya vitu ulivyotumiwa unaona pesa ya usafiri ni ndogo sana, hivyo huoni hata shida ya kutuma! Ukishatuma tu imekula kwako, kampuni au mtu huyo anakublock inakuwa imetoka hiyo, ushaliwa!

Jambo la kuzingatia ili usije kuingia mkenge, watu hawa huwa hawataki kutumia video call, utabaki kuona profile picture zao na kusikia sauti lakini katu hawakubali kufanya video call ili ujue utambulisho wao.

Watu hawa wamekuwa wakitumia udhaifu wa watu kuwa wapweke kihisia kutapeli watu, sio upande wa mapenzi tu hata urafiki wa kawaida, jinsi wanavyokuchota utaona nimepata rafiki wa kweli kumbe mtu yupo kazini.

Kuweni makini.
Bado watu mnatapeliwa kifala namna hii?
 
Pole sana, Mimi kwa falsafa yangu, huwa siamini kama kuna kitu cha bure, au kamserereko!
Nothing goes without a price! Ndio maana huwa saiamini michezo ya kubet!
 
Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo.

Sasa akishaona umemuamini anakwambia fulani nina zawadi kwaajili yako nataka nikutumie, anakuonesha zawadi hizo na mara nyingi zinakuwa ni za gharama kubwa sana. Anakupigia picha akizipaki mpaka siku anazituma na anakupa mawasilianao ya mtu au kampuni inayotakiwa kudeliver mzigo huo.

Mzigo ukifika mtu au kampuni uliyoambiwa itakupatia mzigo huo wanakupigia simu kukujulisha kuwa mzigo umefika, lakini mzigo huwa unakuwa umepelekwa mji tofauti na wewe, na hapo utaambiwa, address ilikosewa au imetokea kutoelewana/sintofamu mzigo umetumwa sehemu nyingine, ili utumiwe mzigo huo unatakiwa kutuma pesa ya usafiri.

Ukiangalia pesa ya usafiri unayotajiwa na thamani ya vitu ulivyotumiwa unaona pesa ya usafiri ni ndogo sana, hivyo huoni hata shida ya kutuma! Ukishatuma tu imekula kwako, kampuni au mtu huyo anakublock inakuwa imetoka hiyo, ushaliwa!

Jambo la kuzingatia ili usije kuingia mkenge, watu hawa huwa hawataki kutumia video call, utabaki kuona profile picture zao na kusikia sauti lakini katu hawakubali kufanya video call ili ujue utambulisho wao.

Watu hawa wamekuwa wakitumia udhaifu wa watu kuwa wapweke kihisia kutapeli watu, sio upande wa mapenzi tu hata urafiki wa kawaida, jinsi wanavyokuchota utaona nimepata rafiki wa kweli kumbe mtu yupo kazini.

Kuweni makini.
Nikajua sijui utapeli gani kumbe mshamba wa Facebook amepigwa 🤣😂

Jiongeze shtuka mtu ana pesa iweje ulipie wewe gharama hata kama address imekosewa ilitakiwa kamouni iwajibike.

Wajinga ndo waliwao jamaa ni mbongo tu pole kwa kupigwa.
 
Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo.

Sasa akishaona umemuamini anakwambia fulani nina zawadi kwaajili yako nataka nikutumie, anakuonesha zawadi hizo na mara nyingi zinakuwa ni za gharama kubwa sana. Anakupigia picha akizipaki mpaka siku anazituma na anakupa mawasilianao ya mtu au kampuni inayotakiwa kudeliver mzigo huo.

Mzigo ukifika mtu au kampuni uliyoambiwa itakupatia mzigo huo wanakupigia simu kukujulisha kuwa mzigo umefika, lakini mzigo huwa unakuwa umepelekwa mji tofauti na wewe, na hapo utaambiwa, address ilikosewa au imetokea kutoelewana/sintofamu mzigo umetumwa sehemu nyingine, ili utumiwe mzigo huo unatakiwa kutuma pesa ya usafiri.

Ukiangalia pesa ya usafiri unayotajiwa na thamani ya vitu ulivyotumiwa unaona pesa ya usafiri ni ndogo sana, hivyo huoni hata shida ya kutuma! Ukishatuma tu imekula kwako, kampuni au mtu huyo anakublock inakuwa imetoka hiyo, ushaliwa!

Jambo la kuzingatia ili usije kuingia mkenge, watu hawa huwa hawataki kutumia video call, utabaki kuona profile picture zao na kusikia sauti lakini katu hawakubali kufanya video call ili ujue utambulisho wao.

Watu hawa wamekuwa wakitumia udhaifu wa watu kuwa wapweke kihisia kutapeli watu, sio upande wa mapenzi tu hata urafiki wa kawaida, jinsi wanavyokuchota utaona nimepata rafiki wa kweli kumbe mtu yupo kazini.

Kuweni makini.
Samahani kama nitakukwaza, ila huu wizi ni wa kidwanzi sana na ukipigwa hivi basi tamaa imekuponza
 
Nakumbuka huu mchongo ulifanya ninaswe vibao na bi mkubwa kipind niko form three enzi hizo nipo busy na WhatsApp si akatokea mdada na ishu zake ooh nimefiwa na wazazi wangu wana mali nyingi mara nataka nikutumie zawadi kisha baada ya kipind kifupi uje ulaya uwe msimamizi wangu... aloo nilivyomuomba bi mkubwa kadi yake ya benki ili itumwe nilikula makofi mawili ya fasta akili zikaka sawa
Matapeli wa Naija kina Hushy Puppy 🤣kitambo sana ma meseji yao Facebook.
 
Kis
Bafo mnaibiwa kishamba hvyooo...yaani huo iwozi niliushtukia toka mwaka 2008 leo hii nashangaa tu
Kishamba sana, afu mara nyingi shobo ndio zinawaponza

Kuna namna mtu akipigwa unasema kweli hata mimi ningejaa lakini sio mbinu kama hii ambayo ni ya kawaida sana
 
Back
Top Bottom