Kuweni makini sana na hawa single mama, mimi yamenikuta mazito ila namwachia Mungu

Komaa na single mother wako utajua mwenyewe, akili itakukaa sawa tu
 
Huyo Dolly na wewe D wote majina yenu yanaanza na D.. mmeshindwa kuunganisha angalau mpate D mbili ili muwe na akili..
Pole mkuu jitahidi kihudhuria vikao kule hakuna ada Wala viboko.
Anakueleza alilipa Ada, Kodi ya nyumba halafu anasema doly atamkumbuka , penye r anaweka l na penye l anaweka r , labda doly atamkumbuka kwa l na r zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…