Tulipokuwa tunam criticuze Messi hawa walikuwa wanatuita haters na kuna muda walikasirika sana kwenye ile special thread mpaka nikaanza ku observe baadhi ya members wameichukulia personal sana kiasi wame catch feeling
Wewe ndio umerukaMbona unaruka tena? Hapa tunawaongelea hawa wachezaji na rekodi zao kila mahali.
Ronaldo afananishwe na wenzie wasiokuwa na world cup.
Ego ya Ronaldo ambayo naiona kwa mbappe pia ndio chanzo cha yeye kuwa na wengi wasiomkubali.Ronaldo ana kundi kubwa sana la watu wanaomchukia kuliko tunavyodhani
Yani pamoja na wao kuchukua kombe lakini bado wanaona haitoshi kumfanyia ridiculous
Na Messi hawezi kuwa GOAT kwasababu hajabeba World Cup 3 kama peleRonaldo hawezi kuwa GOAT kwasababu hiyo iko reserved kwa wachezaji waliobeba angalau world cup moja.
Basi kumbe cha muhimu kwa mchezaji ni mafanikio ya timu na sio hela peke yake.
Kila mtu anacho kipimo chake cha mafanikio pamoja na mtazamo wake kutambua kipi aite mafanikio hivyo huwezi kusema sitamfikia.Wewe unatumia nini? Labda tuanzie hapo? Mbappe hata akistaafu leo mafanikio aliyopata mpaka sasa huwezi kuyafikia.
Achana na wivu wa kijinga mkuu!
Ronaldo hawezi kuwa GOAT kwasababu hiyo iko reserved kwa wachezaji waliobeba angalau world cup moja.
Di Maria si ndiyo anasemwaga anakimbia kama headless chicken?Di Maria ulimuona wapi akikimbia kwa kasi kama mbappe?
Hapana hakuwa nayo ila alishakuwa na UCL na Ballon d'or ambazo mbappe hana. Mbappe hata Euro hana. Hana super cup wala club world. Hajawahi kugusa tuzo ya FIFA best player of the year wala ile ya UEFA kwahiyo bado ni mtoto sana kwa king Messi.Messi akiwa chini ya miaka 20 alikuwa na WC?
goat wangu ni maguire mmπππ Nendeni mkamfariji Ronaldo analia huko.
Ukweli mchungu.Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.
Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
Ronaldo hapo kaingia kwasababu wewe ni mshabiki wake.πWewe ndio umeruka
Mjadala ulikuwa ni Mbappe vs Messi katika age ya 23
Mbappe amemzidi Messi katika kila eneo mi ndio nikaongezea hoja hapo kuwa katika hayo magoli ya Messi ambayo amezidiwa na Mbappe usikute kulikuwa na 84 penati
We ukasema Ronaldo anaongoza, sasa Ronaldo hapo anaingiaje?
Mbappe yeye katika huo umri tayari ana kombe la dunia ambalo huyo babu yenu amekuja kulishika akiwa kikongwe.Hapana hakuwa nayo ila alishakuwa na UCL na Ballon d'or ambazo mbappe hana. Mbappe hata Euro hana. Hana super cup wala club world. Hajawahi kugusa tuzo ya FIFA best player of the year wala ile ya UEFA kwahiyo bado ni mtoto sana kwa king Messi.
Kuna watu watakuona hater ila ulichoandika ndo uhalisia wenyewe.Di Maria yule mtu na nusu,jana kounde alimshukuru kocha fala wa Argentine kumtoa na kuingia Acuna.
Mbappe anachenga ya aina moja tu na mbio ndio maana jana imemchukua dakika 78 kuanza kuonekana uwanjani.
Mbona kama wewe ndo mdau wa tbc? Huyi upete ndokwanza tunamsikia kwako.Watu mliokuwa mnaangalia mpira kupitia TBC huwa hamfichiki
Kwa hiyo nawewe ulikuwa unamsikiliza Nazareth Upete na kumuamini?
Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?
Pele hafikii level ya Messi, huyo mfananishe na akina maradona, platini, de Lima na zidane. Hata copa america tu hakubeba achilia mbali kwamba hata ulaya hakucheza.Na Messi hawezi kuwa GOAT kwasababu hajabeba World Cup 3 kama pele
Ronaldinyo alipofungwa kule Uruguay, Messi na Etoo ndio waliokuwa wanampa kampaniEgo ya Ronaldo ambayo naiona kwa mbappe pia ndio chanzo cha yeye kuwa na wengi wasiomkubali.
Nimeona rivaldo, ronaldinho, de Lima, Shweinsteiger nk wakitaka Messi abebe kombe.