Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Tulipokuwa tunam criticuze Messi hawa walikuwa wanatuita haters na kuna muda walikasirika sana kwenye ile special thread mpaka nikaanza ku observe baadhi ya members wameichukulia personal sana kiasi wame catch feeling
Leo hii wameona haitoshi wamekuja kumsema negative Mbappe, huyu ndio mchezaji aliyechana mkeka hadi wa Drake na Drake ametulia kimya na kukubali matokeo
Sasa leo hii buku la mmakonde limepitiwa na muhindi tayari zimeanza kashfa na ramli chonganishi.