Nimekuuliza Messi ana WC ngapi?Pele hafikii level ya Messi, huyo mfananishe na akina maradona, platini, de Lima na zidane. Hata copa america tu hakubeba achilia mbali kwamba hata ulaya hakucheza.
Hata Messi 2014 alibeba golden boot world cup na alihuzunika. Uzalendo ni muhimu ili kubeba world cup ndio maana Ronaldo hajabeba kwasababu alishaanza hadi kuzinguana na kocha alipokula benchi.Wenzetu ni wazalendo hasa oale ni timu ya Taifa,asingeweza kuchekelea wakati wamepoteza kombe muhimu. Pesa za kutosha anapata PSG
Hayo mapungufu hata Super Sport yalikuwepo, punguzeni chuki na kujitia ujuaji.Kwanza naye alikuwa haoni vizuri kama sisi tu
Nimeshuhudia matukio mawili akiyatafsiri ndivyo sivyo kulingana na low quality ya streaming
Hadi kwenye sub napo alikuwa anachemka anataja watu wasio husika kama ndio wanaofanya mabadiliko
Kwani hizo habari nani kazileta hapo kati ya mimi na wewe?Ronaldo hapo kaingia kwasababu wewe ni mshabiki wake.😂
Mbappe asifananishwe na Messi mpaka atakapobeba UCL kadhaa, ballon d'or angalau tatu, Euro moja nk
Nimesema angalau world cup moja halafu hapo uongeze na vigezo vingine kama copa america, club world, ballon d'or angalau tatu, FIFA player of the year angalau tatu, UCL angalau tatu.Aiseee kumbe mbape ni GOAT,giroud,griezman,kante,pogba,de gea,ramos,rivaldo,kaka, Ronaldinho na wengineo woooteeeee waliobeba world cup
Ronaldo ego yake imemfanya amalize soka kama kituko cha dunia. Kila sehemu anagombana na makocha.Ronaldinyo alipofungwa kule Uruguay, Messi na Etoo ndio waliokuwa wanampa kampani
Kwa hiyo Ronaldinho kumsapoti Messi ilikuwa ni doing something in return
Btw wapo wachezaji wengi waliomtakia heri Ronaldo afike mbali ila sio big deal kwakua fans wake hatushoboki na vitu vidogo kama hivyo
Tofauti na Man U wapi tena aligombana na kocha?Ronaldo ego yake imemfanya amalize soka kama kituko cha dunia. Kila sehemu anagombana na makocha.
Wanapigiana one two unaita mbio? Kwa mantiki hiyo hata Chama ana mbio.Lile goli la pili bila mbio angelifunga? Ile mikimbio yake hukuiona kuanzia dakika ya 80?
Umeongea ukweli mkuu uchambuzi hakuna kabisa kazi kwenda na upepo tuWatu mliokuwa mnaangalia mpira kupitia TBC huwa hamfichiki
Kwa hiyo nawewe ulikuwa unamsikiliza Nazareth Upete na kumuamini?
Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?
Kwani Ronaldo hajapotea? Mbona kuanzia nusu fainali ya kombe la dunia hajaonekana?Atapotea kama alivyopotea Ronaldo! Aisee kuna watu ni mburula
Iv unajua kuwa Ronaldo tangu alipofikisha miaka 30 amefunga magoli zaid ya 400+?
Ronaldo for club
Games: 330
Goals: 285
Assists: 70
Rinaldo for country
Games: 68
Goals: 63
Assists: 11
Hebu nyie watoto warisya wa secondar muwe mnafatilia record kabla ya kuandika ujinga
Kcha kasema hakuna tatizo na aliongea na Ronaldo kuhusu game plan we unasema tatizo lipo. Yani kati ya kocha wa Ureno na wewe ndugu yangu wa Manzese(no offense) nikusikilize wewe?Timu ya taifa hadi ikabidi watoe tamko ili kuzima maneno ya kwenye media.
Sasa kwa uwezo wa Messi kwenye kabumbu unaanzaje kum criticize. Mtu anakila kitu Ball balance, ball skills and ball brain. Yule ata akikaa miaka miwili bila ya kutrain akiingia uwanjan still ataweza kufanya maajabu tofauti na hao wachezaji wengine manguvu kibao wakifika 30+ wanakuwa maflopTeam Messi huwa mnajiona nyinyi ndio wenye haki ya kuwasema negative wachezaji wengine ila ikitokea mtu kam-criticize Messi mtamuita hater.
Alisikika mkaazi mmoja wa Mwananyamala Kidile Manjunju akinenaHuyo ni nguvu Tu na jitihada , hamna mchezaji pale ,